Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sasa unafanyanye switati akikupetipeti na kukulisha msosi aliopika,pia anataka umsifie kapika vizuriSiwezi mkuu roho yangu yenyewe imeumbwa na kinyaa
Mara moja sio mbaya mkuuSasa hapo unapotea ndugu, hizo nyama choma na mikuku ya kisasa/kizungu siyo rafiki kwa afya yako hasa ya uzazi mkuu
Kumbee! Lakini usijali mkuu, wee vumilia tu lazima atakua na faida na manufaa mengine kibao kwako, hata hiyo lishe aliyokuanzishia mbona ndio yenyewe hiyo maana kakurudisha Eden kabisaaDemu tu
Kanichomekea tuVip kuna kauzi kasema kapungukiwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Noma sana...lkn leo narudi kwa wifeehehhe uliamua mwenyewe kuacha kula kwa mke ukaenda kula jalalani
Safari moja huanzisha nyingine mkuu, hayo yamesemwa na wahenga mamboleoMara moja sio mbaya mkuu
Ni shida aiseeeSafari moja huanzisha nyingine mkuu, hayo yamesemwa na wahenga mamboleo
Lakini Mzigua wewe mchokozi sanaItakua yuko kwenye kampeni ya kukuongezea nguvu za kiume
Sasa nashangaa mdau kishaanza malalamiko kibaoNdio kiapo cha ndoa alicho ahidi kukiishi
Ndio kupika ovyo sio ulemavu anayo nafasi ya kujua zaidiHata kama napikiwa ovyo?
Anahitaji counseling kutoka kwa baba parokoSasa nashangaa mdau kishaanza malalamiko kibao
Umemuona eee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lakini Mzigua wewe mchokozi sana
Hamna mtu anaependa kula uchafu mkuuSasa nashangaa mdau kishaanza malalamiko kibao
Siwezi nduguNdio kupika ovyo sio ulemavu anayo nafasi ya kujua zaidi
Kwakweli mkuuAnahitaji counseling kutoka kwa baba paroko
Itabidi niungane na Mzigua hapa sasa kuamini tatizo lipo kwakoItakua yuko kwenye kampeni ya kukuongezea nguvu za kiume
Siwezi ndugu