Hii kasheshe kubwa

Hii kasheshe kubwa

Vyakula vingine vinaharibu matumbo, bahati mbaya ukipumua utafikili gari la taka limepita
 
Mbona suala la kupika ni dogo sana mkuu,ni lakuelekezana tu na kufundishana,

Tunaishi kwa mapungufu yetu,hata wewe hauko perfect kuna mengi tu unakosea,na wala hajafikiria kukuanika!

Nimeona hapo juu kuna mdau kasema labda una tatizo nguvu za kiume,inawezekana ikawa hivyo,sasa bibie kuliko kukuanika kaamua kukutafutia macharger Mkuu
 
Back
Top Bottom