Hahahhahaaa... Hayo ndo mapenz ya sababuSijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi tu, jana kapika mihogo kaiunga na nyanya bila nazi akaipondaponda Sijawai kwa kweli kula hivyo nafanya mpango nimrudie mke wangu mpendwa niliozowea mapishi yake matamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itabidi niungane na Mzigua hapa sasa kuamini tatizo lipo kwako
Mie niko fiti mzigua namualika aje anipime kama sina nguvu za kiume, na mpaka watoto mapacha ninao baada ya mgegedoMbona suala la kupika ni dogo sana mkuu,ni lakuelekezana tu na kufundishana,
Tunaishi kwa mapungufu yetu,hata wewe hauko perfect kuna mengi tu unakosea,na wala hajafikiria kukuanika!
Nimeona hapo juu kuna mdau kasema labda una tatizo nguvu za kiume,inawezekana ikawa hivyo,sasa bibie kuliko kukuanika kaamua kukutafutia macharger Mkuu
Kwani uliambiwa uchangie au unatafuta nikua ignoresasa hii mada yako ina faida gani humu?
Ahsante mkuu [emoji1417]
Noma nakwambia mkuuIla ipo style ya kupika miihogo pia unaweza weka nyanya n nyama, ila huipondii pondii[emoji23][emoji23]
Muda ukifika utaongea mkuuHahahhahaaa... Hayo ndo mapenz ya sababu
Kabisa ila ukiijulia kupika mkuuThen pia ni chakula kizuri kiafya
Najitahidi sana mkuu...lkn aelewi
HahahaaaaSijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi tu, jana kapika mihogo kaiunga na nyanya bila nazi akaipondaponda Sijawai kwa kweli kula hivyo nafanya mpango nimrudie mke wangu mpendwa niliozowea mapishi yake matamu
Ngumu kumeza mkuuHahahaaaa
Ewaaaa. Huu ndio ukweli rafiki.Ndio kupika ovyo sio ulemavu anayo nafasi ya kujua zaidi
Kwani ule ni uchafu Mkuu. Nadhani ni namna alivyokoroga koroga sababu lait ungepata mpishi huo muogo wala usingekuwa na muonekano huo uliouweka hapo.Hamna mtu anaependa kula uchafu mkuu
Sema wewe Sabosabo. Hakuna aliyezaliwa anajua na hakuna mkamilifu pia.Mbona suala la kupika ni dogo sana mkuu,ni lakuelekezana tu na kufundishana,
Tunaishi kwa mapungufu yetu,hata wewe hauko perfect kuna mengi tu unakosea,na wala hajafikiria kukuanika!
Nimeona hapo juu kuna mdau kasema labda una tatizo nguvu za kiume,inawezekana ikawa hivyo,sasa bibie kuliko kukuanika kaamua kukutafutia macharger Mkuu
Ushauri wangu;Ngumu kumeza mkuu