Inatia dhaka?
Anyway, Marekani walitoa rambirambi na ushahidi huo hapo chini. Penda kujisumbua kupata taarifa sahihi kabla ya kuandika. Mengine sitachangia.
View attachment 1758819
View attachment 1758820
Mimi sijasema kuwa kuna ubaya ila nimesema kwamba ili akupe pesa zake ni lazima ukubaliane na mitazamo yake na si kwamba anakupa tu kwa sababu unauhitaji, kwahiyo anaangalia interest zake na ndipo anakusaidia na si kwamba anatoa tu misaada kisa wewe unauhitaji.Interest zinapofanana ndiyo misaada inakuwepo. Kwa mfano sisi tunadhibiti majambazi yaliyoko Msumbiji. Hapa ni vita dhidi ya Alkaeda ya Afrika. Marekani watatupa silaha. Kuna mbaya gani hapo?
Usipopambana na corona hio SGR atapanda nani kama wote mkifa kwa corona.Afya kwanzaKama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Na huwa atupokei misaada tusiyohiitajiMimi sijasema kuwa kuna ubaya ila nimesema kwamba ili akupe pesa zake ni lazima ukubaliane na mitazamo yake na si kwamba anakupa tu kwa sababu unauhitaji, kwahiyo anaangalia interest zake na ndipo anakusaidia na si kwamba anatoa tu misaada kisa wewe unauhitaji.
Hakuna nchi iliyowahi shirikiana na mabeberu na ikawa masikini. Jiwe kuu akuwapenda mabeberu sababu walimpinga kuhusu kuwanyima watu haki zao.Tanzania inaitaji marekani kulikomarekani inavyoitaji Tanzania mbuziwewe
Bado una uchungu na kifo cha MwendazakeKama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Hizo pesa huwa ni zawahisani ama walipa kodi wa MarekaniKama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Nani nyie?Na huwa atupokei misaada tusiyohiitaji
Tutawachanganya tuliwaambia tupo vizuri tunatembea vifua mbere kama taifa,watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
kweli marehemu kaacha misukule kibao i see hereKama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Wewe pamoja na mleta UZI ninakubaliana na nyie but nahisi hujamuelewa mleta UZI though you have a point. Hakatai missada kutoka Marekani, ana question aina ya msaada wanaotaka kupatia, anauliza, why kwenye corona ilihali athali za Corona kwetu sio kubwa kama kwao? Na why now baada ya kifo cha Magufuli? Ndio akapendekeza kama ni msaada, basi upelekwe kwenye SGR kama ambavyo na wewe unapendekeza, is like you guys mnaongea lugha 1 but with different interestKuna ubaya gani kuwa marafiki na Marekani? Ni vizuri sana tupate misaada ya kuinua hali ya maisha ya watu wetu. Umeshasafiri sehemu za Tanzania ambako hadi sasa watu wanahangaika maji ya kunywa? Ni nyingi.
Asante Marekani kwa misaada yenu. Zingatieni maji, elimu, afya na barabara tafadhali.
Kwa wamemaliza mpaka wana chanjo extra.Wewe pamoja na mleta UZI ninakubaliana na nyie but nahisi hujamuelewa mleta UZI though you have a point. Hakatai missada kutoka Marekani, ana question aina ya msaada wanaotaka kupatia, anauliza, why kwenye corona ilihali athali za Corona kwetu sio kubwa kama kwao? Na why now baada ya kifo cha Magufuli? Ndio akapendekeza kama ni msaada, basi upelekwe kwenye SGR kama ambavyo na wewe unapendekeza, is like you guys mnaongea lugha 1 but with different interest
Mkuu, sidhani kama wana chanjo hadi extra kama unavyo sema, hebu pitia hapa Marekani ambayo imekosolewa kwa kuhodhi chanjo itagawa dozi Milioni 60 za AstraZeneca na nchi nyingine, hu uzi upo humu humu jukwaani.Kwa wamemaliza mpaka wana chanjo extra.
Hilo fungu la nje nchi nyingine walishapokea uncle ndo alikuwa hataki
Usitaje neno Marekani taja neno Mabeberu ndivyo ilivyokuwa nyimbo zenu wakati wa mwendazake., Tokea mama samia ashike hatamu hili neno mabeberu limekuwa kama limeenda likizo.,Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.