Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

Wanapima upepo tu hapo ili waje na michongo yao ya upigaji!
 
Kwani Serikali ilikwambia haina fedha ya kuebdeleza mradi wa SGR[emoji2211]
 
Interest zinapofanana ndiyo misaada inakuwepo. Kwa mfano sisi tunadhibiti majambazi yaliyoko Msumbiji. Hapa ni vita dhidi ya Alkaeda ya Afrika. Marekani watatupa silaha. Kuna mbaya gani hapo?
Mimi sijasema kuwa kuna ubaya ila nimesema kwamba ili akupe pesa zake ni lazima ukubaliane na mitazamo yake na si kwamba anakupa tu kwa sababu unauhitaji, kwahiyo anaangalia interest zake na ndipo anakusaidia na si kwamba anatoa tu misaada kisa wewe unauhitaji.
 
We masikini wa kutupa izo ARV wanakupa aoao wamarekani unabwabwaja
 
Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.

Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.

Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Usipopambana na corona hio SGR atapanda nani kama wote mkifa kwa corona.Afya kwanza
 
Mimi sijasema kuwa kuna ubaya ila nimesema kwamba ili akupe pesa zake ni lazima ukubaliane na mitazamo yake na si kwamba anakupa tu kwa sababu unauhitaji, kwahiyo anaangalia interest zake na ndipo anakusaidia na si kwamba anatoa tu misaada kisa wewe unauhitaji.
Na huwa atupokei misaada tusiyohiitaji
 
Tanzania inaitaji marekani kulikomarekani inavyoitaji Tanzania mbuziwewe
Hakuna nchi iliyowahi shirikiana na mabeberu na ikawa masikini. Jiwe kuu akuwapenda mabeberu sababu walimpinga kuhusu kuwanyima watu haki zao.
 
Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.

Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.

Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Bado una uchungu na kifo cha Mwendazake
 
Hizo pesa huwa ni zawahisani ama walipa kodi wa Marekani
 
Kwa hili la corona nakubaliana na wewe.
Sisi tuchague watusaidie vipi ila si wao kutushinikiza aina ya msada.
Kuweni makini sana huko nyumbani bado ni bikira.Msiwaamini sana hawa watu.
 
Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.

Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.

Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
kweli marehemu kaacha misukule kibao i see here
 
Kuna ubaya gani kuwa marafiki na Marekani? Ni vizuri sana tupate misaada ya kuinua hali ya maisha ya watu wetu. Umeshasafiri sehemu za Tanzania ambako hadi sasa watu wanahangaika maji ya kunywa? Ni nyingi.

Asante Marekani kwa misaada yenu. Zingatieni maji, elimu, afya na barabara tafadhali.
Wewe pamoja na mleta UZI ninakubaliana na nyie but nahisi hujamuelewa mleta UZI though you have a point. Hakatai missada kutoka Marekani, ana question aina ya msaada wanaotaka kupatia, anauliza, why kwenye corona ilihali athali za Corona kwetu sio kubwa kama kwao? Na why now baada ya kifo cha Magufuli? Ndio akapendekeza kama ni msaada, basi upelekwe kwenye SGR kama ambavyo na wewe unapendekeza, is like you guys mnaongea lugha 1 but with different interest
 
Kwa wamemaliza mpaka wana chanjo extra.
Hilo fungu la nje nchi nyingine walishapokea uncle ndo alikuwa hataki
 
Mleta mada una walakini. Hiyo mitadi unayoitaja si mlisema tunatumia pesa zeyu za ndani? Msaada wa nini, mmeshindwa kuikamilisha? Ungekuwa mungwana ungesema hata hiyo misaada mingine hutaki!! Sasa mpaka unachagua namna na ukubwa wa msaada?![emoji15]

Ni mambo ya kishe.nzi kulilia kupewa pole!!
 
Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.

Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.

Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Usitaje neno Marekani taja neno Mabeberu ndivyo ilivyokuwa nyimbo zenu wakati wa mwendazake., Tokea mama samia ashike hatamu hili neno mabeberu limekuwa kama limeenda likizo.,
 
Back
Top Bottom