Hii kasumba ya kupunguza miaka ili uonekane mdogo inasaidia nini?

Hii kasumba ya kupunguza miaka ili uonekane mdogo inasaidia nini?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
630
Reaction score
2,151
Unakuta jitu linakaribia kugonga 50 yrs , ila likiwa mbele ya hadhara linasema lina miaka 32yrs au hata miaka 15yrs, hii yote mnafanya ili iweje..??.. Kuna faida gani ukijulikana una umri mdogo ..?

Ebu hacheni huo uhayawani mara moja ,alaah!!.Tafuteni pesa nyie vijeba, sababu hata kama ukisema una miaka sita, kama mfukoni Huna kitu sura itakuumbua tu.

Njaa, ufukara ,na nyege haviwezi kumuacha masikini salama, utajulikana TU hata ujifiche vipi.
1000006983.jpg
 
Mkuu hupajui mzize anakokaa hadi umekuja kutuuliza sisi ambao hatuna hatia.

ngara23 mujibu huyu jamaa Kwa niaba ya Klamenti Mzize.
 
Hii tabia ipo Kwa watu weusi mfano pale EPL yule mchezaji wa Chelsea aliyekuwa akiitwa Michael Esien alishawahi kudanganya umri na lengo Huwa wanapenda kuendelea kucheza football Kwa muda mrefu
 
Mkuu, watu wanafanya hivyo ili kujiuza.

Sina hakika kama nimetumia hilo neno vizuri.

Ni sawa na mtu katupia pamba nyepesi! na mtai wa maana ili kuficha ukweli kwamba kichwa kilisahau akili shuleni.

Lakini hapo haina maana kwamba unadhifu ni udhaifu.
 
Halafu wewe na mzize Kwa nini mnapenda kupunguza umri.

Mnaonekana mna jambo lenu, sivyo? Haya.
Tutawatafuna vip warembo Kama nyie msiopenda wababa
Tunajifanya watoto wa chuo pale IFM ili tuwale warembo kama wewe
 
Back
Top Bottom