mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Unakuta jitu linakaribia kugonga 50 yrs , ila likiwa mbele ya hadhara linasema lina miaka 32yrs au hata miaka 15yrs, hii yote mnafanya ili iweje..??.. Kuna faida gani ukijulikana una umri mdogo ..?
Ebu hacheni huo uhayawani mara moja ,alaah!!.Tafuteni pesa nyie vijeba, sababu hata kama ukisema una miaka sita, kama mfukoni Huna kitu sura itakuumbua tu.
Njaa, ufukara ,na nyege haviwezi kumuacha masikini salama, utajulikana TU hata ujifiche vipi.