Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hi Great Thinkers.
Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote.

Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome.

Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.

 
GSjTSt9W4AAXYlF.jpeg
 
Anachosema ni ukweli mtupu.

Mimi nikikutana na mtu ana hela kuliko mimi basi pia atakua na akili kunizidi, maana haiwezekani uwe na akili halafu ukose hela, narudia tena haiwezekani.

Huna hela = Huna akili.
 
Huyu hana pesa na ni mjinga na mpumbavu sana! Hata siku moja huwezi mkuta Elon Mask au Bill Gates wanaongea huu upumbafu. Huyu ana vijisenti (in Chenge's voice) vya kubadilishia tu mboga. Period!
 
Back
Top Bottom