The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ebu tania kupindua nchi tuone kitakachoendelea. Hata NAPE alisema ulikuwa ni utaniAlikuwa ana tania tu
Rafiki wa SuguNi nani huyu?
Yap asikilizweAna hoja πππ
Chawa ndio washauri wa mawaziri ππ
Ni mjinga pekee ndiye anaweza kulinganisha hela na akiliAnachosema ni ukweli mtupu.
Mimi nikikutana na mtu ana hela kuliko mimi basi pia atakua na akili kunizidi, maana haiwezekani uwe na akili halafu ukose hela, narudia tena haiwezekani.
Huna hela = Huna akili.
Utapataje hela bila akili? ππNi mjinga pekee ndiye anaweza kulinganisha hela na akili
Mtu kama Sugu alipata yai lakini ni Bilionea πUsichukie hiyo ni challenge, mkuu tafuta pesa acha kuchukia wenye pesa