THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Kijana wa mtaaniStupid post.... Amani ya Tanzania italindwa kwa damu na machozi nikiwa ni kijana wa mtaani namuunga mkono SSH
Unataka utuletee machafuko ya kenya au kongo kisa uchu wenu wa madaraka......
Na ukweli ata ww ungekuwa raisi ungefanya ukiritimba zaidi ya SSH..
Muache upumbavuu
Stupid post.... Amani ya Tanzania italindwa kwa damu na machozi nikiwa ni kijana wa mtaani namuunga mkono SSH

Ni stress au ni nini hikiPumbafu kabisa wewe mtoa post, kauli hiyo ina shida gani? Nyoko sana ww, nyoko kabisa
Hahahaha! Amani huku muna piga keki ya taifa tu,wajinga wanaambiwa Amani kitu muhimu, ili muendelee kupiga pesa zetu.Hizo propaganda walisheni wasiokwenda shule huko mitaani ambao hawajui kinachoendelea kwenye Taifa kwa sasa! Ukikuta msomi yupo CCM ujue ni mnufaika wa mfumo huo.Atajitoa ufahamu mbele ya hadhara na kuwaongopea wananchi ila ukweli anao moyoni.Stupid post.... Amani ya Tanzania italindwa kwa damu na machozi nikiwa ni kijana wa mtaani namuunga mkono SSH
Unataka utuletee machafuko ya kenya au kongo kisa uchu wenu wa madaraka......
Na ukweli ata ww ungekuwa raisi ungefanya ukiritimba zaidi ya SSH..
Muache upumbavuu
Wewe unapata hasara ipi wakivuruga kula na kuiba uchaguzi..machafuko yataletwa na Ccm kwa tabia yao ya kuvuruga uchaguzi, na kuiba kura.
Aliyekuambia Tanzania Kuna amani nani? Tanzania hakuna amani kungekuwa na amani watu wasingetekwa na kuuwawa ovyo kama mizoga, uhuru wa kutoa maoni ungeheshimika nchi imejaa wajinga wengi ukiwemo wewe wasiojua haki zao ndio maana tunapelekeshwa na watawala kama mifugo.Stupid post.... Amani ya Tanzania italindwa kwa damu na machozi nikiwa ni kijana wa mtaani namuunga mkono SSH
Unataka utuletee machafuko ya kenya au kongo kisa uchu wenu wa madaraka......
Na ukweli ata ww ungekuwa raisi ungefanya ukiritimba zaidi ya SSH..
Muache upumbavuu
Na wewe unataka 🍰 keki....Hahahaha! Amani huku muna piga keki ya taifa tu,wajinga wanaambiwa Amani kitu muhimu, ili muendelee kupiga pesa zetu.Hizo propaganda walisheni wasiokwenda shule huko mitaani ambao hawajui kinachoendelea kwenye Taifa kwa sasa! Ukikuta msomi yupo CCM ujue ni mnufaika wa mfumo huo.Atajitoa ufahamu mbele ya hadhara na kuwaongopea wananchi ila ukweli anao moyoni.
Aliyekuambia Tanzania Kuna amani nani? Tanzania hakuna amani kungekuwa na amani watu wasingetekwa na kuuwawa ovyo kama mizoga, uhuru wa kutoa maoni ungeheshimika nchi imejaa wajinga wengi ukiwemo wewe wasiojua haki zao ndio maana tunapelekeshwa na watawala kama mifugo.
Tupelekeni watoto wetu shule Tena sio hizi za CCM Ili waondoe ujinga waje kuwa wakombozi wa taifa.
Wewe umetekwa?Aliyekuambia Tanzania Kuna amani nani? Tanzania hakuna amani kungekuwa na amani watu wasingetekwa na kuuwawa ovyo kama mizoga, uhuru wa kutoa maoni ungeheshimika nchi imejaa wajinga wengi ukiwemo wewe wasiojua haki zao ndio maana tunapelekeshwa na watawala kama mifugo.
Tupelekeni watoto wetu shule Tena sio hizi za CCM Ili waondoe ujinga waje kuwa wakombozi wa taifa.
Kama nchi tume tumechafukaaa sanaMda Mwingine hua najiuliza unayosema unayaelewa au vipi bibi?
Ile kauli ya kusema kua "kama washaharibu Nchi kwao wasije Nchini kwetu kutuharibia pia"
Inaonyesha Ubinafsi wa hali ya juu sana na inaharibu picha ya Tanzania ambayo ilikua imejengwa enzi na enzi.
Mataifa Mengi yanayo tuheshimu leo wapigania uhuru au amani mwao walikimbilia Tanzania kwa ajili ya usalama wao na kujipanga vizuri.
Siwez kuwataja ila ni more than 5 hapa majirani tu wa ukanda wa Afrika mashariki tunao walikuja Tanzania kujipanga vizuri.
Unavyosema hutaki waje Nchini ina maaana leo hii wewe uwe Rais halaf Kenya watawaliwe na ukoloni wakenya waanze kuandamana wauliwe wakimbilie Tanzania utawarudisha Nchi mwao we mama kwa unavyoogopa Vita.
Yani hata mtu kuja tu saiv Nchi unahisi unapinduliwa...hio ni TAMAA kubwa ya Madaraka inaonyesha unayo na ni Muoga sana.
Kwa ile kauli Yako we hulindi Amani ya Nchi bali unalinda Urais wako, Aman ya Nchi haitokei bila kua na Amani kwa Majirani zako, kipindi kimenuka Burundi si tulikua na wakimbizi wengi hapa Bongo hadi tukaaanza kuwa na hofu na sisi, kipindi kimenuka kule Nchi za kusini karibuni karibuni ilikuaje nako si hadi waliingia Mikoa ya Kusini watu wakaanza kukimbia?
So usione Majirani kuongelea mafachu ya polis na uongozi wako ni kutaka kuharibu Amani yetu (kitu ambacho kwanza naamin hatuna) bali wanafanya hivo pia kwa maslahi ya Amani yao kikinuka Bongo hata wakenya wataishi kwa hofu.
So usishupaze shingo Bibi elewa historia vizuri.
Kuna machafuko yanakuja baada ya watu kujitambua na kutambua ukweli kuwa madaraka yanatoka kwa wananchi!Stupid post.... Amani ya Tanzania italindwa kwa damu na machozi nikiwa ni kijana wa mtaani namuunga mkono SSH
Unataka utuletee machafuko ya kenya au kongo kisa uchu wenu wa madaraka......
Na ukweli ata ww ungekuwa raisi ungefanya ukiritimba zaidi ya SSH..
Muache upumbavuu
Viongozi na wafuasi wao wanao ogopa revolutions ni wezi, mafisadi na wanyonyaji!Wewe umetekwa?
Kwa hiyo una support wizi wa kura, wizi wa mali ya umma, kwa kuwa wewe binafsi unaona hupati hasara, siyo? Miundombinu isipojengwa, dawa zikikosekana hospitali, gharama za maisha zikipanda, wewe kwako sio hasara. Hizi akili sijui mnazitoa wapi! Wewe utakuwa ni mnufaika tu.Wewe unapata hasara ipi wakivuruga kula na kuiba uchaguzi
Au unataka vita wanao na mama zako waanze kubakwa ndio ufurahie
Ata ungekuwa wewe ndio rais ungekubali kuacha madaraka kirahisi
Tuache upumbavuu na kumezeshwa maneno yasiyo kusaidia
Stupid post.... Amani ya Tanzania italindwa kwa damu na machozi nikiwa ni kijana wa mtaani namuunga mkono SSH
Unataka utuletee machafuko ya kenya au kongo kisa uchu wenu wa madaraka......
Na ukweli ata ww ungekuwa raisi ungefanya ukiritimba zaidi ya SSH..
Muache upumbavuu
Mda Mwingine hua najiuliza unayosema unayaelewa au vipi bibi?