johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu".
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X.
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za shujaa Magufuli ungethubutu kutamka maneno hayo?
Jumaa Mubarak.
====
Askofu aliongeza haya tarehe 10/6/2024, "Narudia tena Rais Samia amekataliwa na Mungu, huwezi kuingilia maongezi yangu na Mungu, mimi ni Askofu naongeaga na Mungu, ameniambia Rais Samia 2025 HATOBOI. Kama hayo ndio uchochozi basi watufunge Maaskofu na Mashehe wote tunaoongeaga na Mungu".