Hawa "miungu" wanaotengenezwa na binaadam kupitia hizi dini ndiko kunakoanzia matatizo huko. Kila dini na dhebu linakuwa na mamlaka ya kumwamrisha 'mungu' wao wanavyotaka wenyewe na kutaka kulazimisha wengine nao wakubaliane na wanayoyakubali wao.Unaposikia Marehemu ameteuliwa katika Ulimwengu wa roho ina maana pana Sana 😄
Anyway, nimejadili vya kutosha kwa leo, mada hii nisiyoona mantiki yake.