johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Comments reserved..Maza anaadhirika ni kwasababu amekataliwa.
..hata kuteua hawezi, mpaka anateua marehemu!?
Angesema ni chaguo la Mungu ungempinga?Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu"
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za shujaa Magufuli ungethubutu kutamka maneno hayo?
Jumaa Mubarak
1 Timotheo 3:1-6 inaeleza Sifa za askofu..Maza anaadhirika ni kwasababu amekataliwa.
..hata kuteua hawezi, mpaka anateua marehemu!?
Viongozi wote hata Tundu Lisu ni chaguo la MunguAngesema ni chaguo la Mungu ungempinga?
Kwani unapenda CCM iendelee kutawala Hadi uwastue?..Maza alipomteua Uvccm kuwa DG wa Tpdc nilijiridhisha kuwa hana uwezo.
..Ccm tafuteni mgombea mwingine mliokoe taifa.
Unataka kusemaje mkuu?Asingeweza kuitoa kwasababu huyo ndiye alikuwa aina ya kiongozi tuliyemhitaji.
Acha kutumia wingi, labda kama mlimtaka wewe na familia yako, huyu anaboronga lakini ni bora mara mia kuliko JiweAsingeweza kuitoa kwasababu huyo ndiye alikuwa aina ya kiongozi tuliyemhitaji.
Ni kama Lissu kashapitishwa kugombea uraisSpana NZITO NZITO zinaendelea huko Singida hadi Wananchi wazinduke kutoka kwenye Usingizi wa Moshi wa Mwenge✌️
View: https://youtu.be/gDwBojxAxHI?si=OXaADJCVISOo0WRy
Naunga mkono hojaAsingeweza kuitoa kwasababu huyo ndiye alikuwa aina ya kiongozi tuliyemhitaji.
Mbona Lisu alitamka pamoja na Mwamakula?Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu"
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za shujaa Magufuli ungethubutu kutamka maneno hayo?
Jumaa Mubarak.