Pre GE2025 Hii kauli ya Askofu Mwanamapinduzi 'Rais kukataliwa na Mungu' angeweza kuitoa enzi za Hayati Magufuli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Askofu ameona Rais Samia amekataliwa na Mungu ila muuaji,katili na mkwapuaji mali na fedha za watu amekubaliwa na Mungu!
 
huyu naye anataka umaarufu ili azidi kuwaibia watu sadaka
 
Huyo mchungaji sijui askofu ni hajielewi, Mungu katujaalia rais mpenda raia wake, msikivu na anayejari maslahi ya watanzania wote.

Mungu atupe nini tena?
Mikumi tena kwa mama Samia
 
Sasa unataka hata viongozi wengine wawe vichaa kama huyo unayemrejea? Viongozi wengine, pamoja na ubovu wa uongozi wao lakini hawana ukichaa vichwani mwao.
 
Sasa unataka hata viongozi wengine wawe vichaa kama huyo unayemrejea? Viongozi wengine, pamoja na ubovu wa uongozi wao lakini hawana ukichaa vichwani mwao.
Askofu hapaswi kuogopa na kuonea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…