Hawa "miungu" wanaotengenezwa na binaadam kupitia hizi dini ndiko kunakoanzia matatizo huko. Kila dini na dhebu linakuwa na mamlaka ya kumwamrisha 'mungu' wao wanavyotaka wenyewe na kutaka kulazimisha wengine nao wakubaliane na wanayoyakubali wao.Unaposikia Marehemu ameteuliwa katika Ulimwengu wa roho ina maana pana Sana π
huyo huyo Allah! π π π πHivi huwa mnazungumzia Mungu gani? Maana utasikia fulani chaguo la Mungu, mara fulani kakataliwa na Mungu mara fulani kafyekelewa na Mungu hata sielewi huyo Mungu wa aina gani.
ππ€£πMarehemu Afufuke Aape Ili Achape Kazi..Maza anaadhirika ni kwasababu amekataliwa.
..hata kuteua hawezi, mpaka anateua marehemu!?
View attachment 3011165
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu"
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za shujaa Magufuli ungethubutu kutamka maneno hayo?
Jumaa Mubarak.
..Maza alipomteua Uvccm kuwa DG wa Tpdc nilijiridhisha kuwa hana uwezo.
..Ccm tafuteni mgombea mwingine mliokoe taifa.
View attachment 3011165
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu"
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za shujaa Magufuli ungethubutu kutamka maneno hayo?
Jumaa Mubarak.
Kiukweli wasaidizi wake hawamtendei haki Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda..Maza anaadhirika ni kwasababu amekataliwa.
..hata kuteua hawezi, mpaka anateua marehemu!?
Huyu askofu ananikumbusha kipindi mh Lema anasota gereza ya kisongo kisa Sir God akamwambia Lema huyu Jiwe asipobadilika amnyonga ...Mwisho wasiku hatimaye Jiwe downView attachment 3011165
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu"
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za shujaa Magufuli ungethubutu kutamka maneno hayo?
Jumaa Mubarak.
Lini wasaidizi wa viongozi wa CCM wanakuwaga na akiri? Unakumbuka kipindi kile kabla kupoteza timamu hapa JF wasaidizi wa Jiwe walisema wewe uitwe bungeni ili ukupate nidhamu ...hadi Mwisho wasiku waka compromise akili yako nakuangukia mikononi ya wajumbe Katili na shetani Jimbo la Kawe.Kiukweli wasaidizi wake hawamtendei haki.
P
Angesema ni chaguo la mungu.View attachment 3011165
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu"
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za shujaa Magufuli ungethubutu kutamka maneno hayo?
Jumaa Mubarak.
MAGU kosa lake kupiga spana wezi,waongo na Kila aina ya ubadhilifu na wengi wa walionao nafasi serikali ni hao hao.Naunga mkono hoja
Pale Dini inapoingiliwa na siasa!