Hii kauli ya Mo ingekuwa ni kwa wana Yanga asingekaa

Wabongo wanaishi kienyeji sana. Yaani mwekezaji ana adress evaluation ya biashara zake, anaonekana anawasimanga. Mlitaka akasemee wapi. Kwani ni uongo kwamba kuna sajili tumepigwa. Yupo wapi Okwa na Akpan na Qattara
Kikao Cha mambumbumbu Mimi kwangu ni kicheko tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
Acha kutudanganya hata GSM walishakiri hilo, mlifanya nini? akisema mo ndo uone ajabu
 
Kumsikiliza Mudy na kumuelewa inahitajika uwe na upopoma wa viwango vya juu kama mkuu wa mapopoma .Toka na hata kabla ya dunia kuumbwa kanjibahi hawafanyagi biashara, uwekezaji au kazi isiyo ya maslahi

Sasa sijui Mudy amekumbwa na nini mpaka anaona watanzania wote ni kama wanasimba chochote atakachosema tunakubali bila kun'gamua.Ukitaka ugomvi wa mchana kweupe uliza Ile billion ishirini ipo wapi?
 
Mbona hata injinia Hersi alisha kili hilo kuwa Yanga inaendeshwa kwa hasara.

Kiufupi Tukiachana na ujuaji wa kipumbavu kama ilivyo kawaida yetu watz ni kuwa karibia asilimia 97 ya virabu barani Afrika vinajiendesha kwa hasara.

Mtu hajawahi kuendesha hata biashara ya mtaji wa milion 2 lakini amejaa ujuaji kibao na wakijinga.
 
Sio kweli hakuna mtu atangangania kitu kinachompa hasara
Wanapata faida sana ndo maana hawataki kuviachia
 
Wabongo wanaishi kienyeji sana. Yaani mwekezaji ana adress evaluation ya biashara zake, anaonekana anawasimanga. Mlitaka akasemee wapi. Kwani ni uongo kwamba kuna sajili tumepigwa. Yupo wapi Okwa na Akpan na Qattara
Timu za ulaya zinaposema zimepata hasara wanaonyesha mapatao na matumizi kwenye mwaka husika sio maneneo matupu wanatumia scientific report.

Mtu hawezi ongea bila eveidence kama amepata hasara tutamwaminije alete report ya kihasibu inayoonyesha amepata hasara
 
Wabongo wanaishi kienyeji sana. Yaani mwekezaji ana adress evaluation ya biashara zake, anaonekana anawasimanga. Mlitaka akasemee wapi. Kwani ni uongo kwamba kuna sajili tumepigwa. Yupo wapi Okwa na Akpan na Qattara
Chawa wa Mwamedi,ningeshangaa sana kama ungekaa kimya. By the way "namleta mbele yenu Sawadogo,kiungo punda mwenye footsteps za Ngolo Kante na mikimbio ya Iniesta".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata injinia Hersi alisha kili hilo kuwa Yanga inaendeshwa kwa hasara.

Kiufupi Tukiachana na ujuaji wa kipumbavu kama ilivyo kawaida yetu watz ni kuwa karibia asilimia 97 ya virabu barani Afrika vinajiendesha kwa hasara.

Mtu hajawahi kuendesha hata biashara ya mtaji wa milion 2 lakini amejaa ujuaji kibao na wakijinga.
Mwambie Mwamedi aweke hadharani Balance Sheets za kila Mwaka tangu achukue timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
nyie manyani hamnaga akili hata kidogo.... mbona hesi aliwahi ongea hivyohivyo mlifanya nini? then utopopolo hamna hamna jeuri hata kidogo ya kumsema vibaya mfadhili wenu maana mnakumbuka vizuri ukapuku mliopitia Kabla gsm hajaingilia kati
 
We pimbi kweli, inamaana Simba haikupitia huo ukapuku unaowasemea Yanga?

Au ndiyo nyani haoni kundule?
 
Wabongo wanaishi kienyeji sana. Yaani mwekezaji ana adress evaluation ya biashara zake, anaonekana anawasimanga. Mlitaka akasemee wapi. Kwani ni uongo kwamba kuna sajili tumepigwa. Yupo wapi Okwa na Akpan na Qattara
Sikiliza ndugu chawa huyo ndugu yako ni muongo asiekua na kumbukumbu alishindwa nini kuvumilia hasara Singida na African Lyon?
 
Back
Top Bottom