OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Juzi hapa Simba walikuwa na AGM ulifika kwenye mkutano kushuhudia audited financial statements? Unataka upewe hesabu za mapato na matumizi wapi? Humu mitandaoni? Kwa hiyo angeenda pale kwa Salehe Jembe na evidence?Timu za ulaya zinaposema zimepata hasara wanaonyesha mapatao na matumizi kwenye mwaka husika sio maneneo matupu wanatumia scientific report.
Mtu hawezi ongea bila eveidence kama amepata hasara tutamwaminije alete report ya kihasibu inayoonyesha amepata hasara