ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
1. Kazi yako ni kutii amri za watawala
Unaamka asubuhi unamuga mkeo na wanao unaenda kazini
Kazi yako ni kuteka na kuuwa Watanganyika wenzako, mtu mweusi kama wewe, tena unamnyonga na kamba akikwambia Fulani nisamehe Bado Nina mke na watoto wadogo lakini wewe unaamua kumwaga damu yake
Unamaliza hiyo kazi ya kuuwa mme mtu, baba wa watoto na Mtanganyika mwenzako unapewa zawadi na pesa na wewe unalala unafurahia tunajipongeza Kwa kazi
Watoto wako wanasoma shule za pesa ndefu, wanatibia Bure kazi yako ikiwa kumwaga damu za watu😭
2. Kuiba kura
Watu wamegombea
Unaongeza makaratasi fake
Unadhurumu Imani ya watu Kwa kiongozi wanaemtaka
Ww unamtangaza mtu ambaye hakushinda
Kwa huu uhuni wewe
Unalipwa pesa na wewe unakaa bar unafurahia kazi ya kipumbavu kama hiyo
Jiepusheni na dhuluma