Hii kiitifaki imekaaje?

Rais inabidi asindikizwe na Vigogo wa ngazi za juu, sio Waziri
View attachment 2008034
Rais wa misri amekwenda Paris ufaransa anakohudhuria mkutano wa kimataifa unaohusiana na maridhiano.

Ila nimefurahishwa na hii picha, waziri mwandamizi wa nchi ya kiislamu mwanamama yeye kapiga suti rais wetu nchi ya kiafrika kageuka mwarabu.
 
Nje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataamka.
Wamisri wenye msimamo mkali ni Muslim Brotherhood kina Mohammed Morsi ambao Misri kwa muda mrefu inawatambua kama kundi la kigaidi. Waliobaki ni moderate Muslims na Wakristo wa Coptic ambao kulazimisha kuvaa ushungi na kuchapa viboko wanaokula kwenye mwezi mtukufu ni uhayawani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…