MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Rais inabidi asindikizwe na Vigogo wa ngazi za juu, sio Waziri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuuHuenda kiongozi wao wa nchi yupo busy na maswala mengine ya muhimu zaidi.
Wamisri wengi wanawake niliokutana nao hawavai ushungi wapo kama wazungu tu, kama ilivyo kwa Waturuki wengi wao, Walebanoni na Syria (wengi wao sio wote).Pia Misri ni nchi ya kiislamu kwanini huyo dada Waziri havai ushungi?
Asante mkuu kwa ufafanuziWamisri wengi wanawake niliokutana nao hawavai ushungi wapo kama wazungu tu, kama ilivyo kwa Waturuki wengi wao, Walebanoni na Syria (wengi wao sio wote).
Pia Misri ni nchi ya kiislamu kwanini huyo dada Waziri havai ushungi?
Si nchi ya kiislamu ni nchi yenye idadi kubwa ya waislamuPia Misri ni nchi ya kiislamu kwanini huyo dada Waziri havai ushungi?
Wapi wamesema waarabu ndiyo wameleta ushungi?Nje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataamka.
Ha ha haNje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataamka.
Wengi ni vuguvugu.Waislamu wengi wa Misri sio wa mrengo mkali
Rais wa misri amekwenda Paris ufaransa anakohudhuria mkutano wa kimataifa unaohusiana na maridhiano.Rais inabidi asindikizwe na Vigogo wa ngazi za juu, sio Waziri
View attachment 2008034
Misri hawavai ushingi wala kanzu ni vimini na wanaume wanakula suti kalikaliNje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataamka.
Huyo ni mzungu!Pia Misri ni nchi ya kiislamu kwanini huyo dada Waziri havai ushungi?
Hana stressMbona wanamwachia ana nenepa hivyo
Hijabu ni vazi la kiislsmu haijalishi mearabu muafrika Mmarekani au mwengine yoyote ni DINI ya Allah haitizami kabila uwezo au jinsiaNje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataamka.
Nje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataa
Huku kwetu tuna shida ya kupeana uraia na kushika nafasi kama hizo ndio maana unashangaaMisri hawavai ushingi wala kanzu ni babu vimini na wanaume wanakula suti kalikali
Wamisri wenye msimamo mkali ni Muslim Brotherhood kina Mohammed Morsi ambao Misri kwa muda mrefu inawatambua kama kundi la kigaidi. Waliobaki ni moderate Muslims na Wakristo wa Coptic ambao kulazimisha kuvaa ushungi na kuchapa viboko wanaokula kwenye mwezi mtukufu ni uhayawaniNje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataamka.