Hii kiitifaki imekaaje?

Hii kiitifaki imekaaje?

Wapi wamesema waarabu ndiyo wameleta ushungi?
Elimu isiwe ya darasani tu hata ya kusoma mambo mbalimbali,tamaduni na historia ni elimu tena pana kwa sababu unakuwa mjanja.Watanzania wengi hohehahe kichwani kama 'Imhotep' inawezekana hajawahi kuona hata sinema za watu wa zamani hasa wanawake wa kiyahudi na wengineo kama hao wakiwa wamevalia ushungi.Uropokaji kwa sababu ya kukosa kujua au hata elimu ndogo ni msiba mkubwa kwa wengi wetu.
 
Hivi ni kwanini, kwanini halafu sio waislamu wenye msimamo mkali
Egyptians wanaheshimika sana katika nchi karibu zote za Kiarabu, kwanza Waarabu wengi wananaamini Wamisri ndiyo jamii ya Waarabu waliosoma sana kuanzia elimu ya dini mpaka 'ilmu dunia'.
Yaani ukiwa nchi yoyote ya Kiarabu atatokea mtu anaongea Kiarabu with Egyptian accent utaona kuna heshima flani anapewa japo pia ndiyo Waarabu wanaoongoza kwa ulevi na kupenda kwenda brothels kununua machangu.
 
Tamil Tiger ni Wahindu
Hawapo wahindu pekee Mkuu kuna Buddha na Christians pia mostly Catholic. Ni moja ya makundi yanayoonesha kinachoitwa 'ugaidi' ni kwa kila dini.

Wakifuatiwa na LRA ya Joseph Konyi nao ni type hizo hizo tu. Gen. Nkunda alijaribu njia ya dini naona akaona haina maslahi sana akatokomea kabisa.
 
Lebanon Umarekani ni mwingi mno, they love American lifestyle.
mkuu lebanon ndilo taifa la kiarabu lenye wakristo wengi, inakadiria karibu nusu ya lebanese ni wakristu. rais wa lebanon shart awe mkristo.
 
Chura huko Deep sana kwa mambo mbalimbali licha ya kuishi kwa shemeji yako
Kwa kua umenijaza kichwa ngoja nishushe madini kamili kwa mtoa swali Hahaha iko hivi lengo mama la protocol (Itifaki) ni kuhakikisha ukamilifu wa hafla husika(hafla iende kama ilivyopangwa kuanzia mda, dhima, ukaaji, uondokaji, chakula nk) , kustarehe kwa wahusika wakati wa hafla bila bugudha na karaha(being comfortable+ not being embarrassed)....Kwa kuzingatia hilo afisa itifaki aliyekomaa ni lazima awe shapu kwenye kujiongeza hiyo inahusisha vitu kama kuwa na uelewa juu ya tamaduni za kwao na mgeni zikoje(mf Utamaduni wa barabados mwanamke anakaa kushoto wewe kama afisa itifaki kwenye hafla mgeni wa Barbados ambaye ni mwanamke imeonekana atakaa kulia moja moja hawezi kuwa comfortable hivyo afisa anajiongeza anammegua kiana) , wanaokutana mahusiano yao binafsi yakoje mf enzi za jakaya usingeweza kumpanga pemben ya kagame hata kama seniority/precedence ya ukaaji ilitaka hivyo(walikua hawaivi hivyo wasingekua comfortable)....kwa kusema hayo sasa turudi kwenye swali la msingi la Bwana MUTUYAMUNGU kumbuka nchi ya Misri ni dola ya kiarabu na Rais wake ni Muislamu safi unajua kwenye taratibu za Kiislamu na kiarabu mwanamke hawezi kuongoza dola, Huenda hii ilisababisha Rais wa Misri kuwa uncomfortable na kumhost Rais wa kike ila kwa maslahi ya nchi akawa hana jinsi. Kuipa nguvu hoja hii kiitifaki aliyetakiwa kumsinidkiza Rais Samia kama Rais wa Misri alikua na Udhuru usiokwepeka basi ni waziri wa mambo ya nje ila bahati mbaya naye ni mwanaume na muislamu swafi...Chief of Protocol wa misri kwa utashi akaamua kumpa mwanamke ambaye kwanza atakua comfortable kuwa na mwanamke mwenzie ambaye ni kongozi mwenza.

2.Sababu ya pili ni ushawishi lengo la mahusiano ni kufikia interest za nchi husika inawezekana ni janja ya Egypt kumtumia mwanamke mwenza ili kumlainisha zaidi katika kupersue interest za dola ya Misri, si unajua mambo ya wadada tena (Kama upo makini utagundua sababu hii inarejea comfortable and not being embarrassed...

3.Sababu ya tatu imetajwa kama Udhuru wa Rais wa Misri kwenye kikao



Kwa Mantiki hayo ITIFAKI ITAKUA IMEZINGATIWA BILA KUJALI NANI KAMUAGA IKIWA TU ZIARA ILIENDA KAMA ILIVYOPANGWA NA RAIS SAMIA PLUS WENYEJI WAKE WALIKU COMFORTABLE NA HAKUKARAHISHWA
 
mkuu lebanon ndilo taifa la kiarabu lenye wakristo wengi, inakadiria karibu nusu ya lebanese ni wakristu. rais wa lebanon shart awe mkristo.
Yeah japo Wakristo wengi wanaishi nje ya nchi yao, Lebanese diaspora ni wengi sana zaidi ya waliobaki nchini mwao mfano wa ajabu Lebanese wanaoishi Brazil tu ni wengi zaidi ya population ya raia wao wote waliopo nchini kwao sasa walivyojaa North America na Europe na wenyewe wakijumlishwa inakuwa noma, vita vyao vya wenyewe kwa wenyewe vya Wakristo na Waislamu vilizalisha wakimbizi wengi mno ambao hawategemei tena kurudi kwao wabaki kuwa Walebanoni jina tu.
 
Nje ya mada,hawa Waarabu wametuletea ushungi halafu wenyewe wameutupa sijui ni lini Mwafrika ataamka.
Kwenye BET jamaa yetu alivaa vazi la East Africa mkaanza kumponda na kumcheka,Bwana Lugola nae alikuja na style ya kiafrika mamifuko ya bendera kwenye suti na raba kali naye hamkumbakiza......wabongo hatuna jema😁
 
Wewe huwezi kuelewa tofauti ya watu wanaofanya ugaidi kwa ajili ya dini na watu wanaofanya ugaidi kwa ubinafsi bila kusukumwa na dini zao?
Hawapo wahindu pekee Mkuu kuna Buddha na Christians pia mostly Catholic. Ni moja ya makundi yanayoonesha kinachoitwa 'ugaidi' ni kwa kila dini.

Wakifuatiwa na LRA ya Joseph Konyi nao ni type hizo hizo tu. Gen. Nkunda alijaribu njia ya dini naona akaona haina maslahi sana akatokomea kabisa.
 
Kwa kua umenijaza kichwa ngoja nishushe madini kamili kwa mtoa swali Hahaha iko hivi lengo mama la protocol (Itifaki) ni kuhakikisha ukamilifu wa hafla husika(hafla iende kama ilivyopangwa kuanzia mda, dhima, ukaaji, uondokaji, chakula nk) , kustarehe kwa wahusika wakati wa hafla bila bugudha na karaha(being comfortable+ not being embarrassed)....Kwa kuzingatia hilo afisa itifaki aliyekomaa ni lazima awe shapu kwenye kujiongeza hiyo inahusisha vitu kama kuwa uelewa juu ya tamaduni za kwao na mgeni zikoje(mf Utamaduni wa barabados mwanamke anakaa kushoto wewe kama afisa itifaki kwenye hafla mgeni wa Barbados ambaye ni mwanamke imeonekana atakaa kulia moja moja hawezi kuwa comfortable hivyo afisa anajiongeza anammegua kiana) , wanaokutana mahusiano yao binafsi yakoje mf enzi za jakaya usingeweza kumpanga pemben ya kagame hata kama seniority/precedence ya ukaaji ilitaka hivyo(walikua hawaivi hivyo wasingekua comfortable)....kwa kusema hayo sasa turudi kwenye swali la msingi la Bwana MUTUYAMUNGU kumbuka nchi ya Misri ni dola ya kiarabu na Rais wake ni Muislamu safi unajua kwenye taratibu za Kiislamu na kiarabu mwanamke hawezi kuongoza dola, Huenda ilibabisha Rais wa Misri kuwa uncomfortable na kumhost Rais wa kike ila kwa maslahi ya nchi akawa hana jinsi kuipa nguvu hoja hii kiitifaki aliyetakiwa kumsinidkiza Rais Samia kama Rais wa Misri alikua na Udhuru usiokwepeka basi ni waziri wa mambo ya nje ila bahati mbaya naye ni mwanaume na muislamu swafi...Chief of Protocol wa misri kwa utashi akaamua kumpa mwanamke ambaye kwanza atakua na comfortable kuwa na mwanamke mwenzie ambaye ni kongozi mwenza.

2.Sababu ya pili ni ushawishi lengo la mahusiano ni kufikia interest za nchi husika inawezekana janja ya Egypt kumtumia mwanamke mwenza ili kumlainisha zaidi katika kupersue interest za dola ya Misri, si unajua mambo ya wadada tena (Kama upo makini utagundua sababu hii inarejea comfortable and not being embarrassed...

3.Sababu ya tatu imetajwa kama Udhuru wa Rais wa Misri kwenye kikao



Kwa Mantiki hayo ITIFAKI ITAKUA IMEZINGATIWA BILA KUJALI NANI KAMUAGA IKIWA TU ZIARA ILIENDA KAMA ILIVYOPANGWA NA RAIS SAMIA PLUS WENYEJI WAKE WALIKU COMFORTABLE NA HAKUKARAHISHWA

Uko vizuri sana Afisa Itifaki
 
Wewe huwezi kuelewa tofauti ya watu wanaofanya ugaidi kwa ajili ya dini na watu wanaofanya ugaidi kwa ubinafsi bila kusukumwa na dini zao?
Utofauti nauelewa Mkuu, ndio maana niliowataja ni waliotaka kuanzisha tawala za base za dini zao. Ni kama IS tu wanachotaka
 
Utopolo mtupu
Delegation theory in its broadest sense is the process by which an authority shifts some of its responsibilities onto another entity with the view of achieving the best performance in terms of its stated aims and purposes. Need I say more?
 
Back
Top Bottom