Pia wapo wakristu wanaovaa ushungi kama vazi tena wengi tu wengine ni vazi rasmi ie masisitasio kila muisilamu anavaa shungi au kila mkiristo anavaa msalaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia wapo wakristu wanaovaa ushungi kama vazi tena wengi tu wengine ni vazi rasmi ie masisitasio kila muisilamu anavaa shungi au kila mkiristo anavaa msalaba
Mkuu ni sahihi kabisa. Niliwahi kwenda safari moja hapo Cairo sikuamini macho yangu. Wadada walikuwa wamekula vimini wanaingia Night Club saa 6 usiku na kutoka saa 4 asubuhi.Misri hawavai ushingi wala kanzu ni vimini na wanaume wanakula suti kalikali
Wamisri ni waarabu wanaoishi africa wenye mambo ya kizunguMkuu ni sahihi kabisa. Niliwahi kwenda safari moja hapo Cairo sikuamini macho yangu. Wadada walikuwa wamekula vimini wanaingia Night Club saa 6 usiku na kutoka saa 4 asubuhi.
Hijabu ni vazi la kiislsmu haijalishi mearabu muafrika Mmarekani au mwengine yoyote ni DINI ya Allah haitizami kabila uwezo au jinsia
Kuvaa ushungi ni ushamba wa waislamu walioupokea kwa pupa. Mungu hayumo kwenye ushungi.
Wakuu,wewe ndiyo mshamba uliyekosa cha kuongea kafiri mkubwa
Hakuna shida yoyote ni kama vile ambao ijumaa kuu hawali nyama utasema ni shidaPana shida kwenye elimu ya uislam,Ila huko mbele itakaa sawa