Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

2025 wachane wachane wararue Kwa maneno Mkiti wa CCM taifa, mwendazake hakuwavumilia, nawe wararue. Kama hawaeleweki pindua meza. Unda Baraza jipya!
Watulie wakalie vigoda hadi 2030!

Everyday is Saturday...........................................😎
 
Hiyo ya kusema kulikuwa na mpango wa serikali kuwa ya mpito Ni Jambo ambalo halikuzungumzwa hadharani maybe hizo Ni taarifa za ndani za watu walipanga kufanya now zimekuwa open kuwa Kuna kikundi kilikusudia kukwamisha asiapishwe...tuendelee kula mtori nyama ziko chini...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…