Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

Mama kakosea kmuita jina waziri mkuu bila kumpa cheo chake lakini hii inaonyesha huko ndani kuna mengi Sana yanaendelea na kufikia hatua ya kusema hivo basi bila shaka kuna watu watamwagwa muda sio mrefu
Sio lazima, sisi Waafrika ndio huwa tuna hulka za kizamani za kutaja cheo cha Kiongozi kila sentesi.
 
Kama ndio hulka yetu,na mama hajafanya hiyo,basi ujue Kuna tatizo
Ni hulka iliyopitwa na wakati kama ile hulka ya kutaja msururu wa viongozi na vyeo vyao katika mikutano ya serikali. Ni vitu visivyo na mantiki.
 
Back
Top Bottom