Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

😅
Dear passengers, its your hostess "MERCIFUL"
We are passing above clouds and turbulence, kindly fasten your seatbelt and straighten your seats!
It's going to be a bumpy ride!!
Yaani kama ni safari ya boat tuko Nungwi
 
Ni kama Mama anamuamini sana Kigogo2014. Halafu Mama anaupenda sana urais alioupata kwa bahati. Sasa 2025 nae hataki kuachia wengine.
Naona ana mpango wa kukwepa kinyang'anyiro cha ndani ya chama, ubabe wa jiwe unajirudia 2025.....ndo maana ya kusema hii ni awamu ya sita ili tupitishwe bila kupingwa kwenye kipindi cha pili cha awamu ya sita, bhagosha.....
 
Hiyo ya kusema kulikuwa na mpango wa serikali kuwa ya mpito Ni Jambo ambalo halikuzungumzwa hadharani maybe hizo Ni taarifa za ndani za watu walipanga kufanya now zimekuwa open kuwa Kuna kikundi kilikusudia kukwamisha asiapishwe...tuendelee kula mtori nyama ziko chini...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naenjo naenjoy sana
 
Back
Top Bottom