Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

Nadhali alimaanisha Kassim ni mtendaji bora, ajiandae muda wowote tangu sasa kupokea kijiti. Ni wazi atakuwa ameichoka hiyo nafasi mapema sana!
 
Akaulize mama wa malawi yaliyo mtokea, ongea taratibu na wanaume
Mama kakosea kmuita jina waziri mkuu bila kumpa cheo chake lakini hii inaonyesha huko ndani kuna mengi Sana yanaendelea na kufikia hatua ya kusema hivo basi bila shaka kuna watu watamwagwa muda sio mrefu
 
Back
Top Bottom