Anatoy
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 332
- 222
Ajitafakari maana huenda akasahaulika kabla 2025Kama ni bungeni ilitakiwa iwe kwa akina ndugai? Kauli hiyo imebeba mengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajitafakari maana huenda akasahaulika kabla 2025Kama ni bungeni ilitakiwa iwe kwa akina ndugai? Kauli hiyo imebeba mengi sana.
Mbona anawaza 2025 kila dakika...Mungu amempa tuu walioutaka kitambo hawakuupata....Maendeleo ya Mama yanawapa wenge.
Kuutaka na kujiandaa ni vitu viwili tofauti.Kama ni hivyo basi anatufaa, maana alijiandaa na si bahati mbaya!
Asante Sana Mh. Rais Leo umesema bila pepesa macho. Vunja serikali unda upya.
Kiongozi mkuu wa shughuli za serkali bungeni ni waziri mkuu. Hilo ni dongo la kikubwa na mhusika amepokea ujumbe kikamilifu! Kuelekea 2025 hawako timu moja!Kama ni bungeni ilitakiwa iwe kwa akina ndugai? Kauli hiyo imebeba mengi sana.
Wewe ni nani hata umpangie Mkuu wa nchi cha kufanya, kila kitu ufanyacho ujue kina price yake na hii ni kind of insubordination.Mbona anawaza 2025 kila dakika...
Ndugai ni mtu wa kumuogopa kweli atakunyima uraisi kama
uko smart.
Mimi ni mimi..Wewe ni nani hata umpangie Mkuu wa nchi cha kufanya, kila kitu ufanyacho ujue kina price yake na hii ni kind of insubordination.
Kwani mama hakuwahi kuongopa au nikukumbushe?Toka lini mtu muongo akawa sahihi? Alituongopea mchana kweupe eti Jiwe yuka ofisini anachapa kazi kumbe jamaa alisha kata stimu!!! Kassim Majaliwa hafai aende akafanye biashara yake ya korosho!!!
Ina maana huko kwao na Kassim!
Kwa mtu mzima ambaye amekuwa kiongozi kwa muda mrefu, naamini Mh Job Yusto Ndugai ataamua kuachia ngazi ili kulinda kaheshima alikonako. Asipoachia ngazi kabla ya Bunge kuanza basi mambo mawili yanaweza kumtokea:Nilijua ni mimi tu ndo nilitilia Shaka kauli hii kumbe tupo wengi!! Hili fukuto mh!
Vivaaa!!! ccm mitano tena.Kwa mtu mzima ambaye amekuwa kiongozi kwa muda mrefu, naamini Mh Job Yusto Ndugai ataamua kuachia ngazi ili kulinda kaheshima alikonako. Asipoachia ngazi kabla ya Bunge kuanza basi mambo mawili yanaweza kumtokea:
Ima CCM imuite, imuhoji na kumnyang’anya uanachama na hivyo kupoteza Uspika na Ubunge ama Bunge litoe hoja ya kumvua Usipika na kubaki na ubunge wake. Vyovyote itakavyokuwa, sioni Ndugai akikalia kiti cha Uspika kwenye kikao kinachoanza mwishoni mwa mwezi huu ama mapema mwezi ujao. Ndugai anaondoka, atumie busara kuchagua anaondoka vipi. Aondoke kwa kupokwa uanachama wa kijani ba hivyo kukosa Ubunge na Uspika au ajiuzulu Uspika na kubaki na ubunge wake au wabunge wamuondoe! Bora aondoke mwenyewe as this option is a lesser devil for his situation.
Kwa upande mwingine nilimsikia Mh Rais akisema nyumba ya akina Kassim ilikuwa inasema serikali yake ni ya mpito. Kassim (naamini ni PM), ni kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni, sasa kama Bunge, ambalo yeye ni Mbunge No 1, linamsema Mh Rais basi ni vyema PM naye akaangalia busara katika hilo na hivyo kuachia tu ngazi ili Mh Rais apate nafasi ya kuunda serikali upya kama atataka kumrudisha basi atamteua. Pia Mh Rais kasema kuna Mawaziri wanaoangalia 2025 badala ya kufanya kazi na hivyo atawatoa; PM kama mkuu wa Mawaziri anatakiwa kutumia busara na kuandika kwa Mh Rais ili akae kando na kumpa nafasi Mh Rais kupanga vyema Serikali yake na kuondoa wale wote wenye matamanio ya 2025. Kumbuka PM akijiuzulu Baraza la Mawaziri linapoteza uhalali hivyo kumlazimu Rais kuunda upya serikali kuanzia PM.
Ni imani yangu kwamba kwa hali ilivyo hawa wakuu wawili wanatakiwa kutumia busara na kuamua kumpisha Mh Rais.
Malipo ni Hapa hapa duniani. Laana ya LissuKwa mtu mzima ambaye amekuwa kiongozi kwa muda mrefu, naamini Mh Job Yusto Ndugai ataamua kuachia ngazi ili kulinda kaheshima alikonako. Asipoachia ngazi kabla ya Bunge kuanza basi mambo mawili yanaweza kumtokea:
Ima CCM imuite, imuhoji na kumnyang’anya uanachama na hivyo kupoteza Uspika na Ubunge ama Bunge litoe hoja ya kumvua Usipika na kubaki na ubunge wake. Vyovyote itakavyokuwa, sioni Ndugai akikalia kiti cha Uspika kwenye kikao kinachoanza mwishoni mwa mwezi huu ama mapema mwezi ujao. Ndugai anaondoka, atumie busara kuchagua anaondoka vipi. Aondoke kwa kupokwa uanachama wa kijani ba hivyo kukosa Ubunge na Uspika au ajiuzulu Uspika na kubaki na ubunge wake au wabunge wamuondoe! Bora aondoke mwenyewe as this option is a lesser devil for his situation.
Kwa upande mwingine nilimsikia Mh Rais akisema nyumba ya akina Kassim ilikuwa inasema serikali yake ni ya mpito. Kassim (naamini ni PM), ni kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni, sasa kama Bunge, ambalo yeye ni Mbunge No 1, linamsema Mh Rais basi ni vyema PM naye akaangalia busara katika hilo na hivyo kuachia tu ngazi ili Mh Rais apate nafasi ya kuunda serikali upya kama atataka kumrudisha basi atamteua. Pia Mh Rais kasema kuna Mawaziri wanaoangalia 2025 badala ya kufanya kazi na hivyo atawatoa; PM kama mkuu wa Mawaziri anatakiwa kutumia busara na kuandika kwa Mh Rais ili akae kando na kumpa nafasi Mh Rais kupanga vyema Serikali yake na kuondoa wale wote wenye matamanio ya 2025. Kumbuka PM akijiuzulu Baraza la Mawaziri linapoteza uhalali hivyo kumlazimu Rais kuunda upya serikali kuanzia PM.
Ni imani yangu kwamba kwa hali ilivyo hawa wakuu wawili wanatakiwa kutumia busara na kuamua kumpisha Mh Rais.
Spika na Kassimu kumbe wote lao mojaKwa mtu mzima ambaye amekuwa kiongozi kwa muda mrefu, naamini Mh Job Yusto Ndugai ataamua kuachia ngazi ili kulinda kaheshima alikonako. Asipoachia ngazi kabla ya Bunge kuanza basi mambo mawili yanaweza kumtokea:
Ima CCM imuite, imuhoji na kumnyang’anya uanachama na hivyo kupoteza Uspika na Ubunge ama Bunge litoe hoja ya kumvua Usipika na kubaki na ubunge wake. Vyovyote itakavyokuwa, sioni Ndugai akikalia kiti cha Uspika kwenye kikao kinachoanza mwishoni mwa mwezi huu ama mapema mwezi ujao. Ndugai anaondoka, atumie busara kuchagua anaondoka vipi. Aondoke kwa kupokwa uanachama wa kijani ba hivyo kukosa Ubunge na Uspika au ajiuzulu Uspika na kubaki na ubunge wake au wabunge wamuondoe! Bora aondoke mwenyewe as this option is a lesser devil for his situation.
Kwa upande mwingine nilimsikia Mh Rais akisema nyumba ya akina Kassim ilikuwa inasema serikali yake ni ya mpito. Kassim (naamini ni PM), ni kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni, sasa kama Bunge, ambalo yeye ni Mbunge No 1, linamsema Mh Rais basi ni vyema PM naye akaangalia busara katika hilo na hivyo kuachia tu ngazi ili Mh Rais apate nafasi ya kuunda serikali upya kama atataka kumrudisha basi atamteua. Pia Mh Rais kasema kuna Mawaziri wanaoangalia 2025 badala ya kufanya kazi na hivyo atawatoa; PM kama mkuu wa Mawaziri anatakiwa kutumia busara na kuandika kwa Mh Rais ili akae kando na kumpa nafasi Mh Rais kupanga vyema Serikali yake na kuondoa wale wote wenye matamanio ya 2025. Kumbuka PM akijiuzulu Baraza la Mawaziri linapoteza uhalali hivyo kumlazimu Rais kuunda upya serikali kuanzia PM.
Ni imani yangu kwamba kwa hali ilivyo hawa wakuu wawili wanatakiwa kutumia busara na kuamua kumpisha Mh Rais.
Ana stress ya 2025 siyo?....Mama anapaniki anahoma ya 2025!
Kwani Kassimu ma Jobu wakijiunga na kushawishi wabunge waseme hawana imani na serikali si bunge litavunjwa na uchaguzi utaitishwa kwa nini wasifanye hivyo?