Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo ni yeye mwenyewe weninge ni maspika wake tu na yule wa mamwanga.Ni kama Mama anamuamini sana Kigogo2014. Halafu Mama anaupenda sana urais alioupata kwa bahati. Sasa 2025 nae hataki kuachia wengine.
Aisee mnajua kuchonganisha watu!!Bora hata angesema "kwa akina Majaliwa".
Atleast kumu address mtu kwa surname inaleta heshima 😂😂😂😂
Mama ndo kigogo mwenyewe Kama ilikuwa hujuiNi kama Mama anamuamini sana Kigogo2014. Halafu Mama anaupenda sana urais alioupata kwa bahati. Sasa 2025 nae hataki kuachia wengine.
Aisee. . . . Ya kweli haya ?Mama ndo kigogo mwenyewe Kama ilikuwa hujui
Kweli ? Sidhani kama itafikia paleHafidh Ameir naye hatakiwi. Hadi 2024 tutaona mengi, ila chief Hangaya anaipeleka CCM mwaka 2015.
Ya kweli haya mzee ?Ndugai, Majaliwa, Lukuvi, ni miongoni mwa watu waliokuwa mstari wa mbele mama asipewe urais. Walitaka kuweka pembeni matakwa ya katiba waliyoapa kuilinda. Ndio maana Ndugai alitaka kuitisha bunge ghafla wabadili vifungu vya katiba! Bahati mbaya kina JK, Pinda, Membe, Kinana, Waryoba, Mabeyo, Makamba Snr,Mangula,TISS manguli wa shughuli walimzima Ndugai.
Uhaini na Usaliti.Ni kama Mama anamuamini sana Kigogo2014. Halafu Mama anaupenda sana urais alioupata kwa bahati. Sasa 2025 nae hataki kuachia wengine.
Mama ananipa raha huyuu.... Khaaa...
Bora nani?Hana maana kwa sababu hana subira na haito kuja kutokea
Mama hajakosea kitu Kasimu, Ndugai, Siro na aila zao wote hawa ni wapinga maendeleo ya mama,Mama kakosea kmuita jina waziri mkuu bila kumpa cheo chake lakini hii inaonyesha huko ndani kuna mengi Sana yanaendelea na kufikia hatua ya kusema hivo basi bila shaka kuna watu watamwagwa muda sio mrefu