Hii michango inayochangishwa na watu binafsi kwa ajili ya janga la Karikoo ifuatiliwe

Hii michango inayochangishwa na watu binafsi kwa ajili ya janga la Karikoo ifuatiliwe

Yaani wabongo ni shida. Hivi waliambiwa hao watu wana shida na hela. Yaani mtu anatoka huku anaanza kuitisha michango bila kufata utaratibu. Kwanza kariakoo tu wafanya biashara wana uwezo wa kushuhhulikia wahanga bila hata watu baki kuchanga.
 
Back
Top Bottom