Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

uko wap baba nikufuate huko uliko, kwa gharama za wapendwa kwajili ya maombi na na maombezi, hiyo roho ya uchochezi huko chini lazima tuikomeshe, vinginevyo unakoelekea pazito zaidi 🐒
 
Yaani wewe umekariri udhalilishaji wa wanawake tu kwani midoli ya kiume haiwekwi nje? Au udhalilishaji ni wanawake tu?
 
Yaani wewe umekariri udhalilishaji wa wanawake tu kwani midoli ya kiume haiwekwi nje? Au udhalilishaji ni wanawake tu?
Uzuri wa midoli ya wanaume haina sehemu nyeti tofauti na ya kike ambayo ina nyeti mfano matiti na huku chini pamechongoka Kama kitumbua kipo pale
 
nilikusahau milembe😆😅🤣😂
 
Wanaitwa Mannequins 😃
 
Sometimes hata usipoandika uzi mkuu inafaa, sio lazima uandike kila siku,

Kwa hio tunakuwa taifa linaloogopa midoli ? Just midoli? Kwamba sasa kuweka mdoli nje ni kosa ?

Hili taifa sasa litakuwa la kipuuzi,
Juzi nilipita kariakoo nikakuta mdoli unavalishwa nguo, jinsi ulivyokuwa umeshikwa ulikuwa unavutia hisia sana, jamaa akawa anavalisha taratibu huku akipiga stori na wenzake. Hilo lilikuwa ni shambulizi la kisaikolojia
 
Wanaitwa Mannequins😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…