Kweli wewe kichwa maji.Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza
Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.
Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo
Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?
Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi
Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?
Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
Nenda Mirembe katibiwe ugonjwa wa akili, wewe siyo mzimaHivi nyie ndo mmeambiwa mnaletewa midoli ya kuoa au siyo nyinyi binadamu? Ili kupunguza matumizi kwa wanawake ambao ni binadamu ? Msijitoe akili bwana
Yapo ya kuzalilisha wanawake lakini siyo Hiyo Midori, huko mitaani na masokoni kama kariakoo wanawake wengi wanazalilishwa Kwa kushikwa maungo Yao, Wanapigiwa miluzi na kupigiwa kelele, alafu unakuja kudai Midori ndiyo inazalilisha,Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza
Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.
Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo
Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?
Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi
Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?
Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
Kama muuza duka kila siku anavalisha midoli na kuvulisha kwa nini asijenge tabia ya kushika wanawake maungo yao? Tabia ya binadamu inajengwa na uzoeshi piaYapo ya kuzalilisha wanawake lakini siyo Hiyo Midori, huko mitaani na masokoni kama kariakoo wanawake wengi wanazalilishwa Kwa kushikwa maungo Yao, Wanapigiwa miluzi na kupigiwa kelele, alafu unakuja kudai Midori ndiyo inazalilisha,
tunaongelea midoli kutundikwa nje ya maduka ikiwa uchi wa mnyama na imebeba sura na umbo la binadamu! Tunawajengea nini watoto wetuKweli wewe kichwa maji.
Waambie wapige marufuku uuzwqji wa kondom, pombe, nguo fupi kwa qanawake na wanume nk!
I see, hapo ni kuanza kutiana hamu.Halafu mdoli ana umbo la kiafrica. Titi linavutia balaa
Kwani picha za ngono huwa zina lolote lakini ukiziangalia huwa unahisi nini? Lile limdori limebeba sura na umbo la binadamu kuna tofauti gani na picha za uchi ?Roho ya uzinzi hiyo imekujaa, ile midoli haina chochote ni ww na tamaa zako..!!! Nyie ndio mnabaka vikongwe na watoto
Wengi wamekuja kukupinga,ila me nakuunga mkono kwa Hoja yako,una jua unapo zungumzia MMOMONYOKO WA MAADILI KWA KIZAZI HIKI KINACHO KUJA unajenga maana pana sana ya maisha ya vizazi hivi vijavyo,tuna wazoesha watoto wetu,wadogo zetu kuona haya mambo ya kawaida ila maafa yake baadae ni makubwa,sio kwamba hawataishi wataishi vizuri tu kutokana na vipato vyao ila litakuja swala la MAADILI KWAO LITAKUWA NI BOVU KULIKO HIVI SASA.Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza
Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.
Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo
Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?
Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi
Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?
Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
Kwa namna hiyo midoli ilivyoundwa lazima kwa mwanaume RIJALI ikushughulishe.Kama ww hupatagi hisia consult a physician utakuwa na changamoto ya erection.Ni aina ya ugonjwa wa akili. Binadamu unakuwa na na hisia mpaka kwa masanamu?
Uzi uko vizuri sana.Tatizo mnapenda muandike nyinyi tu.Midoli ikiwa uchi kuna tofauti gani na picha za utupu?Sometimes hata usipoandika uzi mkuu inafaa, sio lazima uandike kila siku,
Kwa hio tunakuwa taifa linaloogopa midoli ? Just midoli? Kwamba sasa kuweka mdoli nje ni kosa ?
Hili taifa sasa litakuwa la kipuuzi,
Hahahahaha..kuna mingine wanaivalisha bikini halafu vina vitako hivyo..Kuna mahali nikipita kila siku wamemvisha nguo na kufunua titi moja lipo wazi
Sio midoli tu, Ila nyuchi za midoli.Nafikiri tujikite kwenye teknelojia, dunia inakwenda kasi sana sisi vijana wetu wanadili na midoli.
Unaeza=unaweza, pumbavu kabisa!Kuna sehem nilpita nkaona midoli ya kike imeumbika balaa,yaan unaeza peleka mawazo mbali!
Hatari SanaKipindi Hiki Cha Funga,
PumbaKuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza
Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume.
Udhalilishaji wake ni kwamba kuna wafanyabiashara wengine wanayasimamisha nje ya maduka yao yakiwa uchi bila kuvalishwa nguo
Watu wazima wanapita, wamama, vijana na watoto wanapita wanayaangalia yakiwa uchi
Tunajenga picha gani kwenye jamii na watoto wetu wanajifunza nini na maadili ya Taifa hapo yatakuwepo kweli?
Kama Taifa tunasisitiza picha za kuashiria mmomonyoko wa maadili ni marufuku lakini ya hii midoli haizingatiwi
Kwani nguo zikitundikwa kwenye Kamba na springs hazitauzika?
Hiki kitu hakipo sawa kwenye jamii, Waziri piga marufuku matumizi ya hiki kifaa
Hayuko serious mtoa madaKwa jinsi wanavyovaa wanawake sasa hivi wewe upo kwenye Midoli kweli ?