monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Haihusishi kianzio mkuuYaani u mean hii 28k kwa siku kwa miaka 2 haihusishi ile kianzio ya 700k?
Broh kuna jamaa nimemkuta anafurahi huyo bila kujal changamoto atayokutana nayo hapo baadaeMilioni 21 na ushee hapo ndani ya miaka miwili kwa biashara ya bajaji hutuboiView attachment 3115670
Hapo wao ndo wanafaidi bila kumjali msaka tongeUkiwa na akili timamu huwezi kufanya huo ujinga.
Hiyo laki saba bora ajiongeze kidogo achukue bodaboda tu.
Bajaji moja unanunua kwa bei ya bajaji 3.
Wewe ni. Wakala wa Hilo kampuniHiyo kampuni marejesho sio 28,000 ni 27,714 ambapo kwa wiki ni 194,000 faida yake ikiharibika wanatengeneza wenyewe kwa kipindi chote cha mkataba 2yrs. Kuna kampuni rejesho ni 31,200 na kila kitu ni kwa dereva.
Hii inafanyika hata kwa maboss wa mtaani na ni kawaida kabisa walio katika kiwanda hiki wanajua ndio maana kelele hamna.
Kwa kiasi flani haya makampuni yamekuwa mkombozi kwa watu kwasababu maboss wa mtaani manyanyaso yalikuwa makubwa sana kwa madereva wengine wanasubiria mkataba unataka kuisha anakutafutia makosa anakunyanganya chombo
Jamaa atakuwa kiazi sanaBroh kuna jamaa nimemkuta anafurahi huyo bila kujal changamoto atayokutana nayo hapo baadae
Usitukane mambo kabla hujavuka mtoHawa pamoja na wanao nunua simu za mikopo akili zao zina fanana