Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

2years nonstop
HApo upaswi Hata kuumwa[emoji848]
1. Kwenye nyumba uliyopanga ukiumwa mwenye nyumba anakusamehe kodi?
2. Hapo ulipoajiliwa ukiumwa boss anakuelewa?
Ipo hivi dereva ukipatwa na changamoto yeyote itakayokufanya usifanye kazi wataarifu wanachukua chombo chao mpaka utakaporekebisha mambo yako unakifata.
 
Ukiumwa wiki tu mabaunsa hao mlangoni wanafuata Bajaj yao
Sio hoja hiyo.. Ukijiona huwezi kufanya kazi na kurejesha pesa yao. Unachotakiwa kufanya kuwataarifu wanaichukua bajaj yao mpaka utakapokuwa sawa unaendelea na kazi.. Kikubwa wewe kama dereva utoe taarifa. Mbona mnaona kama walioingia hiyo mikataba kama wajinga hawajielewi?
 
Mkuu kwani wewe ni mmoja kati ya waliochukua bajaji ya mkopo?
 
Mkuu kwani wewe ni mmoja kati ya waliochukua bajaji ya mkopo?
Hapana sijachukua.. Ila wapo waliochukua nawajua na wanafanya ndio maana najua baazi ya vitu, alafu mimi ni kijana najua changamoto zetu.. Huu uzi umeanzishwa kwa lengo la kukatisha tamaa wasithubutu kupambana na umaskini ndio maana kila lisilo la kweli najitahidi kulielezea kwa ninachokiona kwa hao marafiki zangu na la kweli nalikubali
 
Mkuu huu uzi nimeuanzisha mimi lengo si kukatisha tamaa vijana wenzangu mimi mwenyewe pia bado najitafuta na lengo langu kuingia kwenye usafirishaji wa abiria kwa kutumia bajaji

Lengo la kuanzisha uzi huu ni kujadili hii mikopo na rejesho kwa siku/wiki ni kubwa mno je uwezekano wa kupatikana upo maana bajaji zimekua nyingi sana mjini na zinazidi kuongezeka kila uchwao na kwa suala la kunufaika hapa haipingiki anayekopesha ananufaika vya kutosha
 
Nilitafsiri vibaya kwasababu ya uandishi uliotumika kuwasilisha na maoni ya walionitangulia na niliweka nia ntajibu kila kitu hapa. kila la kheri mkuu, jitihada muhimu vijana tupambane tutoboe.
Jitahidi utafute maarifa ujue aina ipi ya bajaj itakufaa kati ya TVS au RE kwa kifupi kila kitu jirizishe na uamue mwenyewe.
 
Mkuu huu uzi nimeuanzisha mimi lengo si kukatisha tamaa vijana wenzangu mimi mwenyewe pia bado najitafuta na lengo langu kuingia kwenye usafirishaji wa abiria kwa kutumia bajaji

Lengo la kuanzisha uzi huu ni kujadili hii mikopo na rejesho kwa siku/wiki ni kubwa mno je uwezekano wa kupatikana upo maana bajaji zimekua nyingi sana mjini na zinazidi kuongezeka kila uchwao na kwa suala la kunufaika hapa haipingiki anayekopesha ananufaika vya kutosha
Vizuri sana ndugu hata mimi nina wazo la kuingia kwenye hii sekta japo mwakani .. je .. wewd upo huko au unatarajia pia
 
Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo;
Aina ya bajaji ni RE
Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili unarejesha zaidi ya 20 milion aisee huu ni unyonyaji wa hali ya juu

Halafu nimekutana na jamaa pale ndo anatoa hiyo pesa anafurahi na kusema marejesho ya elfu 28,000 kwa siku kwake haisumbui huyu jamaa atakuja juta baadaeView attachment 3115668
Vijana wanapambana Kwa kila hali
 
Sasa kama ipo hivyo inakuwaje mtu anakuja kulalamika kama ni kausha damu? Kabla haujakopa si unaangalia kama unauweza? Let say unaambiwa tunakupa bajaji kianzio labda toa milioni 4 ,Then kila mwezi uwe unaleta laki tatu kwa muda wa miaka miwili ,haujashikiwa bunduki kuchukua sasa inakuwaje mtu aje kulalamika wakati ulipewa masharti mwanzoni kabisa?

Mimi nachojua kabla ya kuchukua mkopo kuna vigezo na masharti yapo , mkopo mzuri pale mwanzoni unapochukua ila ukishapata unaleta uzembe na hivyo kufanya ugumu kurejesha.

Madereva wa bajaji na boda wengi ni wavivu wa kufanya kazi ,akishapata elfu 10 tu anaenda kulala hafanyi kazi ,kwa mwendo huo lazima utaona ni kausha damu ,all in all mikopo ya hivyo ni mizuri kwa wanaojielewa.
Halafu cha kuongezea mbongo ukishamkopesha unabaki na kazi sasa ya kujieleza wakati una dai hela zako😁.
 
Kwa kweli hili jambo inabidi serikali iliangalie kwa jicho la pili......vijana wanakamuliwa sana......

Kwa life span ya bajaj ni wazi kuwa unamfanyia kazi mwenye bajaji......ni vigumu kwa mchaka mchaka WA mjini hapa kwa bajaj kutoboa miaka miwili........
Wanao kopa kama wana miaka 18 na kuendeleq Serikali iingile nini? Watanania ujamaa unatusumbua sana, kila kitu Serikali
 
Back
Top Bottom