Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo;
Aina ya bajaji ni RE
Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili unarejesha zaidi ya 20 milion aisee huu ni unyonyaji wa hali ya juu

Halafu nimekutana na jamaa pale ndo anatoa hiyo pesa anafurahi na kusema marejesho ya elfu 28,000 kwa siku kwake haisumbui huyu jamaa atakuja juta baadaeView attachment 3115668
Mitano Tena!
 
Kwa kweli hili jambo inabidi serikali iliangalie kwa jicho la pili......vijana wanakamuliwa sana......

Kwa life span ya bajaj ni wazi kuwa unamfanyia kazi mwenye bajaji......ni vigumu kwa mchaka mchaka WA mjini hapa kwa bajaj kutoboa miaka miwili........
Hiyo mbona inalipika tu...huenda ni Kwa vile hamfahamu bajaji analaza kiasi gani!! Jamaa yangu bajaji yake kaifungia mfumo wa gesi...akinunua gesi ya tsh 8000 Hadi ikiisha ameingiza elfu 90 (90,000.00) na hiyo ni ndani ya saa 24!
 
Back
Top Bottom