Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

Dini zina shida gani? mnaambiwa mtende haki kwa kufanya mabadilikobya kuondoa manung'uniko mnakuja kulaumu dini
 
Dini zina shida gani? mnaambiwa mtende haki kwa kufanya mabadilikobya kuondoa manung'uniko mnakuja kulaumu dini
... mifumo mibovu inapowabeba wako KIMYA!
KWAKWELI NI MUDA SASA TUFUMUE KILA KITU NA KUSUKA UPYA BILA KU'REFER'REFER' ZILIPENDWA!
 

Tatizo la Waislamu ni ulalamishi tu.

Rais akiwa Mwislamu, waislamu wengi huwa wanachukua upande bila kujali anafanya vizuri au la. Rais akiwa Mkristo wanabaki kulalamika tu bila hoja ya msingi na kusingizia Mfumo Kiristo. Leo wameusahau huo mfumo. Wataukumbuka tena Rais mkristo akiingia madarani.
 
... mifumo mibovu inapowabeba wako KIMYA!
KWAKWELI NI MUDA SASA TUFUMUE KILA KITU NA KUSUKA UPYA BILA KU'REFER'REFER' ZILIPENDWA!
 
Nenonhaki ni kufanyiwa wao tu mbona hawahubir haki kwa waislamu mfano waiambie serikali sisi mnatupa ruzuku za mahospitali na shule na waislamu wapeni au kwa nn wasiambie serikali kilio cha waislam ni mahakama ya kaadhi au kujiunga oic sasa wapeni neno haki ni kufagiliwa nyia wakristo ndo tafsir yao kama mtoa mada na ss hatukai kimya ni bomb linalosubr kulipuka
 
Hamna mgogoro wowote wa dini zaidi sana ni siasa zisizozingatia maslahi ya wengi, haki na amani kwa kundi kubwa.

Acheni kupotosha.
 
Mtawala anaweza kutenda haki hata kama hana dini ,ila suala la kuipa dini moja kwamba sjui majasusi ni uongo 😂😂huo ujasusi umejitokea hapa baada ya uhuru ..Kiufupi hata ufanye mkoa wa Ruvuma kuwa nchi watajiendesha na kuendelea ,hata uchukue mkoa wa shinyanga wanweza kuwa kama nchi bila ya kufa njaa.



Kitendo cha watu fulani kujifanya wanaijua dunia ni hatari sana ...Overall, kila mtu ana haki kwa vile tunategemeana...Kule sudan na Congo si waliganyika ila maisha yanendelea .


Kiufupi ,hauwezi kujifanya uko juu dhidi ya wengine kila jamii na taratibu zao ni bora na wanaweza kujiendesha bila ya msaaada.

Kitendo cha kutaka kuharibu amani kwa matamko ya kifitna ni suala la kithenge ,bora hivi kuliko vita ; havina faida hata moja.
 
Hamna mgogoro wowote wa dini zaidi sana ni siasa zisizozingatia maslahi ya wengi, haki na amani kwa kundi kubwa.

Acheni kupotosha.
... mifumo mibovu inapowabeba wako KIMYA!
KWAKWELI NI MUDA SASA TUFUMUE KILA KITU NA KUSUKA UPYA BILA KU'REFER'REFER' ZILIPENDWA!
 
Kuita dini za wenzio kuwa ni za kipuuzi, NI SEHEMU YA BOMU alilolizungumzia mtoa mada..!!!
 
... kuna wakati natamani sana kujiunga na Kiranga !
Wale wanaotuhimiza tumwabudu Mungu ndio wako front line kwenye utekaji, ufisadi, wizi, na uharamia wa kila aina.

Huwa nafikiri hawa jamaa wana siri kwamba hakuna Mungu wala Mbingu ila wanatudanganya sisi tu

Ukiwaona sasa wanavyojaa makanisani na misikitini huwezi kuamini.
 
Ila hapana mimi kwangu naona waislam ndio wenye shida kubwa saba wakristi wala hatuna shida mara zote nchi ikishikwa na wakristo huwa inatulia sana ila sio hawa viazi na ndio kundi lenye mafisadi na wezi wengi sana
 
Walikwapua hela bank wakazipeleka kanisani huko hawakusema wala hawasemi na isitoshe kila baba yao wakamjazia kwenye acxount
 
Haya mambo yasipochukuliwa tahadhali, tutajikuta tumeangukia kwenye huo mtego

Lakini kikubwa haki inapokosekana kwenye Taifa, ndipo haya yanapojitokeza

Nawakumbusha kuna ID zilipotea humu tangu 2016, lakini mara baada ya ndugu katika Imani kuchukua kijiti Mwaka 2021

Ghafla zimerudi tena, huku wakimtetea Kwa nguvu kubwa hata kama amesababisha deni la Taifa kusoma 116T

Anyways, tuendelee kuombea Taifa
 
Ni ujinga tu wa watu. Hivi ni Waislamu wangapi wanafaidika Rais akiwa Mwislamu au ni Wakristo wangapi wanafaidika Rais akiwa Mkristo?
INAFIKIRISHA!
... Ajabu kubwa ni pale vijamaa vinapotetea lishe zao za kidunia kujifanya vinamjali sana BABA WA MBINGUNI!
😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…