Hii mimba itakuwa ya nani?

Hii mimba itakuwa ya nani?

Spana za humu 😹🙌
Nitarudi kusoma kesho..!
 
Mimba ni ya B Siku ya 15 ambayo fertility na ni siku ya ovulation, huyo A hata asingetumia P2 asingeweza kubeba mimba. Nawasilisha
 
Mbunye imepokea sperm aina mbili tofauti ndani ya siku nne, ikaongezewa na P2, hawa viumbe ni hatari sana
Yani wakati sperm za kwanza zinaisha makali, zikingizwa zingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Punguza wanaume hadi hujuwi mimba ni ya nani kweli wanaume wanapitia mengi.Wewe Lea hiyo mimba mwenyewe uzinzi wako umekuponza. Kataa ndoa kataa udanganyifu.
 
Amevuna madunda ya umalaya, atafute jibu mwenyewe,

Any decision you make in life you will be responsible and accountable for
 
Back
Top Bottom