Hii mimba itakuwa ya nani?

Hii mimba itakuwa ya nani?

Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Acha upumbavu wako wewe..Et "Rafiki yangu" wakati ni wewe mwenyewe. Ngono haina tuzo, Mpumbavu mkubwa wewe!
 
😂 😂 😂 Hii ni Jf sio insta kama hujaelewa nambie nikueleweshe
NB:ngono Ina tuzo nayo ni moja tu
ambayo ni mimba
 
Back
Top Bottom