Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

Mtampiga vita lakini January ni choice ya wengi. Tunajua kwanini mna mshambulia. Ni kwa sababu wengi mnajua Makamba yuko wazi. Hapendi mnayo fanya kwa manufaa yenu na familia zenu.

Unajitisha choices ya Wengi kina nani🤣🤣🤣🤣Labda choice ya Mke wake naMichepuko

Angalia mitandaoni Watanzania wengi tusivyokua na imani nae Mpigaji
 
Asante kaka kwa elimu
Hujajibu fatma aliyeandika kwa kutumwa
Umewajibu wenye propaganda chafu dhidi ya awamu ya sita
 
Unajitisha choices ya Wengi kina nani🤣🤣🤣🤣Labda choice ya Mke wake naMichepuko

Angalia mitandaoni Watanzania wengi tusivyokua na imani nae Mpigaji
Amna elimu
Mmekariri
Chuki za watu mmezibeba vivian mwenu
 
Asante ,Mwalimu Mkuu.
 
Makamba hajui Watanzania wanajua Mambo, hivi makamba Kidato cha nne alipata divisheni ngapi?
Muulize Benjamin Mkapa aliyemlipia ada
Unajitisha choices ya Wengi kina nani🤣🤣🤣🤣Labda choice ya Mke wake naMichepuko

Angalia mitandaoni Watanzania wengi tusivyokua na imani nae Mpigaji
Waiga mkumbo
Kwa Umri wako penda kujifunza na kutafiti sio kuiga
 
Analysis yako nimeipenda Sana,inaonekana ni mjuvi wa Mambo,ama ndo wenye nchi wenyewe unaowasema.
 
Nimempenda huyu dada kwa moyo wangu wote,,,,namuombea baraka tele.
 
[emoji106][emoji115]
Asante kwa kunena kwa ufasaha.
Itoshe kusema ukweli mradi mingi JPM pamoja na makandokando aliyokuwa nayo.
Alisimama kuona kile alichotaka kufanya kwa taifa kinaenda kwa wakati na fedha iliyopangwa.
Sidhani kama hili la bwawa alitaka likwame katu! Sasa Ndugu Janu anaposema mradi ulikwama kwa siku 400 yaani zaidi ya mwaka je JPM alikuwepo na alilikubali hilo??
Awamu ya 6 imeenda kuanza kupiga safari kila leo na walewale waliokuwa na JPM ndio hao wanapiga hela kila kona. Taifa linadidimia tukiona kwa macho!
Yale ya WANYONGE yameisha, maendeleo na huduma kwa jamii ndio tatizo kubwa.!
 
Umeandika maandiko ya maana sana. Hakuna ubishi kwamba hakuna mwana wa Adamu aliye mkamilifu. Hivyo JPM alikuwa na a lot of mapingufu na wema pia. Kwangu mimi naloliona JPM aliliwaza na kuamua kulifanya ni ujenzi bwawa la Nyerere na kuhamishiwa makao makuu Dodoma.
Wahandisi wetu wa wakati huo walikuwa na akili ya Mende. Waliijenge DSM kama kwamba binadamu hawataongezeka/ hawatazaliana. Hiyo ndiyo chanzo kikubwa cha foleni DSM.
Kwa bwawa la Nyerere hakuna ubishi kuwa hilo itakuwa ni suluhisho la umeme wa uhakika ambao utasaidia kukuza uchumi
 
Sio tu hivyo alipokuwa waziri alilipinga hilo bwawa kwa kisingizio cha mazingira na world heritage. Hamna kitu mle. Sijui ameingia kwa sifa zipi
 
Hili la Jk kumtengeneza JPM sio kweli, ni ukweli kuwa alikuwa na lengo la kumtosa EL na kumuingiza Kachero, tatizo ilikuwa udhaifu wake wa kutojua kumbe EL alikuwa ahead of him akiwa ametengeneza wajumbe ndani ya mfumo wa JK. Kumbuka Ben was alive na very powerful fugure, akajua JK ataangukia pale. Akamwambia JPM ajiingize wakijua Jk hatoboi.
Ukisikia waccm wanaimba wanaimani na EL hii hakuijua, dk za mwisho wajumbe waliamua akimwaga ugali wanamwaga mboga WAKOSE WOTE .
Kusema alimtengeneza ni big NO yeye alimuandaa Kachero.
Kuhusu kujua asingedumu si kweli japo ilijulikana na machine,
Labda ukisema ametumia kumsilence inaweza kufikirika. Maana huyo jPm alikuwa chiza ana rungu anapiga yeyote aliigusa familia na washirika.
Sasa hii nchi anahitajika kichaa ×2 kuliko JPm la sivyo hutuendi.
Huwezi ukaja waziri eti haipo crane kunyanyua tani 26 hayuko serious, deal za mafuta ziko zinaletwa zinajulikana uzuri record inaandikwa kila siku itatumika hata miaka 100 ijayo, maana katiba itabadilika siku moja
 
Nakufahamu uzuri sana uloandika.

Tatizo wenye nchi wamechanganyika wamo wa aina tofauti.

Ni uzuri wakawa kitu kimoja na waweke misimamo nchi yaelekea wapi maana kwa sasa ni mvurugano tu.
 
Mkuu,anamalizwa ama anajimaliza?
 
Mkuu,anamalizwa ama anajimaliza?
Mimi kwa kweli siwezi kumhukumu Makamba kwa muda mfupi huu ambao amekaa pale Wizarani. Apewe muda, muda hauongopi hata siku moja. Kama si madhubuti ndani ya miezi sita ataonekana tu na tutamhukumu. Mbona mambo ni mengi sana kwenye Wizara hiyo ambayo akikosea ataonekana
 
Makamba alianza kuandamwa mapema Sana baada tu ya jpm kufariki, sioni ajabu kwa sasa.

waliomchafua kipindi kile hawakupenda kumwona akirudi kwenye Baraza la mawaziri .
Tunalotakiwa kukumbuka ni kwamba makamba akiharibu basi anamharibia rais na Kama rais haoni kama anaharibu basi mnapoteza muda wenu kulalama. Bainisheni mapungufu yake rais ayaone. Mwisho kabisa mwenye mamlaka ya kumfukuza uwaziri makamba ni aliyemteua.
 
Sina popote nilipotaka unijibu kaka, nilikuwa nakuletea taarifa mlangoni kwako tu bro.
Kama ndivyo ulikuwa huna haja ya kunijibu kwa kuni-quote...taarifa hiyo ya kwako jiwekee mwenyewe mlangoni kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…