Fatma... hivi unaifahamu kweli nguvu alizonazo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Hayo unayosema yanawezekana kwenye nchi zenye MIFUMO IMARA ambayo Mtendaji HAOGOPI kutimuliwa kazi na rais... kama ilivyokuwa Marekani!
Tanzania hii, ambao hata Wakuu wa Idara Nyeti nao wanajipendekeza kwa watawala halafu utarajie wanaweza kufanya yale yaliyo kinyume na matakwa ya watawala... my friend, UNAJIDANGANYA!!
Basi ambacho hufahamu ni kwamba, JK ndie alipigania JPM awe rais! JK alianzisha miradi mingi sana ambayo mingine ilikuwa imeshaanza kama vile ujenzi wa barabara, madaraja, Mlonganzila, na mingine ilikuwa haijaanza lakini ilikuwa hatua za awali zote zimekamilika kama hiyo SGR, Gesi, na Bandari ya Bagamoyo!
JK alimwamini sana JPM kwenye suala zima la usimamiaji, kwahiyo aliamini ni JPM tu ndie atakayeweza kutekeleza hiyo miradi!! Tatizo wengi walidanganyika na janja janja ya Bernard Membe ambae alifanikiwa kuwaonesha watu kwamba yeye ndo chaguo la JK!
Watu wanashindwa kufahamu ni kwanini hata ile Sheria ya Mafuta na Gesi ilipitishwa haraka haraka wakati JK anatarajia kuondoka madarakani!!
JK alishapanga kumkata Lowassa, na alishafahamu akimkata Lowassa kulikuwa na uwezekano mkubwa wa Lowassa kwenda CHADEMA!!
JK alifahamu Lowassa akishaenda CHADEMA, uchaguzi ungekuwa mgumu sana, na yeyote kati ya Lowassa au JPM (asikudanganye mtu, huyu alishakuwa chaguo la JK) angeweza kuingia Ikulu!!
The Establishment iliogopa zaidi watu waliomzunguka Lowassa, especially Rostam Azizi kuliko ilivyomuogopa Lowassa mwenyewe! Watu walishafahamu shauku ya Rostam Azizi kuingia kwenye gas industry. Sasa kwavile waliona pia kuna uwezekano wa Lowassa wa kuingia madarakani... Lowassa Swahibu mkubwa wa Rostam Azizi; hapo ndipo Sheria ya Mafuta na Gas ikapitishwa fasta ili kuzuia uwezekano wa influence za Rostam unless waamue wenyewe kuifumua sheria!
Hapa upo sahihi lakini vilevile Mkapa aliingia madarakani na "mguu mzuri"!
In 1995, IMF, World Bank and Paris Club walianzisha the so-called Highly Indebted Poor Countries (HIPC) Initiative! Taasisi hizo zilikubaliana zisamehe madeni kwa 38 maskini zaidi duniani, na moja ya nchi hizo ni Tanzania!
Wakaweka conditions za namna gani selected countries zitakuwa approved, na Mkapa alipoingia madarakani, kupitia Reforms mbalimbali, hatimae akafanikiwa kuwashawishi Donors na hivyo kupungiziwa debt burden!
Kwamba RA ndie kamwaribu Mkapa, you might be right lakini sio aliyemfanya Mkapa asihamie Dodoma!
Lau kama Mkapa angesema ahamie Dodoma kwa kasi ya JPM, hata huko kwenye HIPC Initiative tungekuwa DISQUALIFIED instantly kwa sababu IMF na WB wasingekubali wao wasamehe madeni halafu mtumie mabilioni ya pesa eti kujenga majengo ya makao makuu ya nchi!
Hakuwa na pesa kivipi?!
JK wala Mkapa hawakushindwa kujenga SGR bali kwa miradi mikubwa kama hii, mambo yanaenda hatua kwa hatua! Kwa mfano, idea ya kujengwa SGR ilitokea awamu ya Mkapa! Alipoingia JK, wakaanza feasibility study, na hadi JK anatoka, feasibility study ilikuwa imeshakamilika, na ndo maana JPM alianza kujenga moja kwa moja!!
Lakini JK sio tu aliishia kwenye feasibility study bali alishapata hadi Contractor na Financier! Kampuni ya China Railway ikashinda na kupewa tenda ya ujenzi wa SGR ambayo ingekuwa financed na China EXIM Bank!
JPM alipoingia madarakani akakutana na wajuaji!
Wakamwambia KIkwete kahongwa na Wachina, kwahiyo tenda waliyopewa Wachina ni ya Kifisadi! Mbaya zaidi, wakamwambia hata Mikopo ya Wachina inatakiwa kuogopwa kama sumu kwa sababu, Wachina wakikupa pesa baada wanakuja kukunyang'anya miumdombinu waliyogharamia ili kujilipa madeni yao!!
Hapa watu wakaanza kusambaza habari za Wachina walivyoipora Bandari ya Hambantota, kule Sri Lanka kuonesha ni namna tunapaswa kuogopa mikopo ya Wachina!!
Jambo ambalo halikufahamika na "Wazalendo" hawa, habari za Bandari ya Hambantota zilikuwa ni Propaganda za Serikali ya Marekani chini ya Donald Trump ili kuzitisha nchi duniani zisiingie kwenye Belt and Road Initiative iliyokuwa imeasisiwa na China, ambayo ni threat kweli kweli kwa US!
Watu tuliposema hizo habari hazina ukweli wowote... tukaitwa MAFISADI!
Na kama kawaida ya JPM ya kupenda kufanya maamuzi kwa mihemuko, akawapiga chini Wachina akaanza mchakato mpya wa kutafuta Contractor mwingine na ndipo akapatikana Mturuki!!!
Watu tukaonya hapa kwamba mradi lazima utasua sua kwa sababu Mturuki hana pesa ya kutosha kama Mchina, na pia Uturuki as a country, isn't that stable!!
Kilichotokea?! Tukaanza kutanga tanga kutafuta mikopo, na hapo tukadondokea:-
Na pia:-
Yaani, leo hii wanataka kutuaminisha Mikopo ya China ni ya Kinyonyaji zaidi kuliko mikopo ya Benki Binafsi za Kimagharibi!
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hilo! But how far did we go katika kuachana na Mchina? The answer is HERE👇👇👇
Sounds like MAFISADI ndio wamewarudisha Wachina kwenye SGR baada ya JPM kufariki, right?! Anyway, heading ya hiyo habari ni hii hapa:-
View attachment 2009872
Kwanini Serikali ya Magu ikaamua kurudi tena kwa Mchina yule yule waliyesema ni Mnyonyaji na huwa anapora infrastructure alizogharamia ili kufidia pesa yake?
Akili za Mbayumbayu, changanya na zako!!
Mkuu
Titicomb, nilikuahidi nitakuletea utafiti wa taasisi za Wataalamu wa Marekani wenyewe kuhusu mikopo ya Wachina na suala zima la Bandari ya Hambantota (Sri Lanka)! Sijasahau... nitakupatia! Utafiti uliofanyika na Wamarekani wenyewe baada ya kugundua na wao kumbe walikuwa wanadanganywa na Serikali ya Trump... propaganda ambazo pia zilitumika na "Wazalendo" kumtisha JPM kuhusu Wachina!
Lakini wakati naahidi kutoa hiyo ripoti, wasome kidogo Harvard Business School kwenye publication yao ya February 2021...
View attachment 2009884
Abstract ya hiyo publication inasema:-
Lakini wasomi wetu, wakachukua hizo propaganda za Trump na Timu yake wakaitumia kumtisha Magufuli! Wengine tukajitahidi sana kuelimisha wafuasi wa JPM kuhusu uongo huu wa Marekani lakini kama kawa, ni kwavile tu tumevaa ngozi ngumu ndo maana tuliendelea kuelezea ukweli!
Nikipata wasaa, nitapekua kuitafuta ile ripoti ambayo imeelezea hadi Mikopo ya China vs Mikopo ya International Funding!
Inawezekana ni kweli Hakuwa na Pesa lakini ufahamu kwamba, ingawaje tunadanganywa Bwawa la Nyerere tunajenga kwa pesa zetu lakini uhalisia tunajenga kwa mikopo!!!
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba JPM ambae sera zake zilikuwa UNPREDICTABLE ndo alikuwa more bankable kumlinganisha na JK!
Remember, moja ya criteria zinazotumika na financial institutions kukopesha nchi ni Government Policy! Nchi ikishakuwa na unpredictable president, financial institutions zinakuwa even more cautionary kuikopesha kuliko nchi yenye kiongozi fisadi!!
Nakubaliana na wewe kwamba JK alikuwa ni Western Countries' Darling, na kwahiyo inawezekana hakutaka kuwakwaza kwa sababu wao walikuwa wanaupinga zaidi mradi! Hata hivyo, wakati JK akiendelea na harakati za Bwawa la Nyerere huku Brazil wakiahidi ku-finance mradi, kiwango kikubwa cha gesi kikaendelea kugundulika!!
From Economic Point of View, uwekezaji kwenye sekta ya gesi ni bora maradufu kulinganisha na uwekezaji kwenye Nyerere Dam!
Trillions of Shilings tunazowekeza kwenye Nyerere Dam, end product is just ELECTRICITY! Umeme ambao pia utategemea sana masuala ya sura ay nchi in terms of climate!
Kinyume chake, Gesi sio tu inakupatia umeme wa uhakika bali yenyewe kama yenyewe ni nishati inayoweza kutumika majumbani, viwandani na kwenye magari! On top of that, ukishafanya natural gas processing, unapata by-products za aina mbalimbali zinazoweza kuchochea ukuaji wa sekta zingine za uchumi....
Kwa mfano, soma
hapa:-
Kwamba, moja ya by-product inaweza kutumika kujenga viwanda vya kuzalisha mbolea, na ndo maana kuna mpango wa kufungua hicho kiwanda chenye thamani ya zaidi TZS 4 Trillion!
As of now, Tanzania hatuna kiwanda kikubwa cha kufikia hata nusu ya hicho!! Na utengenezaji wa mbolea ni sehemu tu ya namna gani by-products zinaweza kutumika!! Hapo hatujazungumzia up-stream benefits of the gas industry, wala mdi and downstream!!
Faida kama hizo HUWEZI kuzipata kwenye Mradi wa Bwawa la Nyerere ambao utaishia tu kuzalisha umeme ambao pia unaweza kuzalishwa na gas!!
I wish ungeona tangazo la TPDC likitangaza tenda ya usambazaji wa gas infrastructure across the country kisha u-digest mwenyewe economic impact ambayo ingepatikana!!!
Hata Muhungo alipozungumzia "uchumi wa kisasa unahitaji gas" alimaanisha hayo... we don't talk about electricity but economic multiplier effect inayoweza kupatikana kwenye gas industry investment as compared to itakayopatikana kwenye Bwawa la Nyerere!
Hivi kuna mahali January amesema anaachana na Mradi wa Bwawa la Nyerere?!
Hivi ni uchumi wa aina gani mnaotegemea wenzetu wa kuona Bwawa la Nyerere ndo Alpha and Omega to the point mengine yoooooooooooote yasifanyike but Bwawa la Nyerere?!
Kwani January akiendeleza na mipango ya uwekezaji kwenye gesi, inazuia nini kuendelea na Bwawa la Nyerere?!
The problem watu mlilishwa sana propaganda!!!