Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Waiting for the book...ingawa sijamaliza kusoma 'shushushu'...You got it all wrong. JPM was JK's candidate. Jk aliua ndege wawili kwa JIWE moja in 2015. On one side, kwa kusimama na JPM aliua uwezekano wowote wa hasimu wake Lowassa kujipenyeza kwa mgongo wa nyuma katika "tano bora" ya mgombea urais wa CCM. Kwa upande mwingine, JPM made a perfect fall guy. Jk knew JPM had some serious health issues, and he wouldn't last long kwenye urais. Lakini by the time he's gone, Watanzania wangekuwa wanamkumbuka Jk licha ya utawala wake kuwa wa kifisadi kupita maelezo. And that's exactly what happened. Badala ya watu kushukuru kwamba angalau under JPM sasa Tanzania sio major importer and exporter wa sembe, au sio major hub ya arms and people trafficking, watu wakamkumbuka Jk kwa vile "vyuma vilikaza" under JPM. Na hata hapa JF watu wakatamani "bora JK." Wapinzani nao wakaimba wimbo huohuo.
Kuna "makosa ya makusudi" kwenye hoja zako. Moja ni kudai "PM wa kwanza wa Jk, yaani Lowassa, alikuwa anafahamu wapi taifa linatakiwa kufika." Really? Kwa ufisadi wa Richmond? [emoji849]
That aside, Jk alimtengeneza JPM kuja kuwa rais wa kulaumiwa, not essentially kwa sababu he was a fearless tyrant, bali kwa vile katika kusafisha madudu ya mtangulizi wake, akageuka adui wa Watanzania wengi. Watanzania wanapenda utelezi. Wanataka kuamka saa 4 asubuhi huku fedha za kifisadi zinamiminika kwenye akaunti zao. Wanapenda kuwa na pato la ziada la kuwawezesha kumudu kuwa na nyumba ndoto zisizohesabika. Kuishi maisha ya kitajiri pasi elimu wala ajira kuna hitaji moja muhimu: uhalifu.
Long story short. Haya yote unayoshuhudia muda huu yalitengemezwa kabla JPM hajaingia madarakani. Ofkoz kuna wakati hata Jk mwenyewe was worried kuwa labda alifanya miscalculation kum-pick JPM as a fall guy, but the end justified the means.
Here we are again, Jk is back at the helm.
Hii ni condensed version of a very long episode, which essentially started in 2005. Panapo majaliwa, you'll read it in a book. Kwa sababu tusipoweka rekodi sawa kwa njia ya maandishi, sio tu wazushi watakuja na stori "za kusafishana" bali pia vizazi vijavyo havitoweza kuelewa kwanini nchi yao ipo the way itakavyokuwa.
Finally, kama hadi leo hakujawa na jitihada za kuangalia "the ugly side of Mwalimu's ujamaa/rule," kama ambavyo tawala za Mwinyi, Mkapa, na Jk hazijawekwa under microscope, ni ngumu kufahamu "the ugly side of JPM," including how hiyo miradi unayosema ni ya maslahi ya taifa ilivyogubikwa na ufisadi mkubwa na ilitekelezwa bila kujali ridhaa ya wananchi kupitia wawakilishi wao bungeni. To make matters even worse, tofauti na Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jk, kwa JPM kuna suala la "kulinda legacy yake." Na ukigusa tu mapungufu yake hata ya kibinadamu, tarajia mashambulizi ya nguvu from watetezi wake, most of whom bado hawaamini kuwa they guy is actually gone for good.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app