Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

Makamba! Huyu mpumbavu tu kama akina Nape hana tofauti! Na laana ya kumtukana Magufuli itamtafuna mpaka mwisho wake! Watu hawamtaki na kamwe hata weza kufikia matamanio yake na genge lake la mafisadi
Kama kweli hizo laana zipo sipati picha wale waliowapoteza watanzania wenzao itakuwaje
 
You got it all wrong. JPM was JK's candidate. Jk aliua ndege wawili kwa JIWE moja in 2015. On one side, kwa kusimama na JPM aliua uwezekano wowote wa hasimu wake Lowassa kujipenyeza kwa mgongo wa nyuma katika "tano bora" ya mgombea urais wa CCM. Kwa upande mwingine, JPM made a perfect fall guy. Jk knew JPM had some serious health issues, and he wouldn't last long kwenye urais. Lakini by the time he's gone, Watanzania wangekuwa wanamkumbuka Jk licha ya utawala wake kuwa wa kifisadi kupita maelezo. And that's exactly what happened. Badala ya watu kushukuru kwamba angalau under JPM sasa Tanzania sio major importer and exporter wa sembe, au sio major hub ya arms and people trafficking, watu wakamkumbuka Jk kwa vile "vyuma vilikaza" under JPM. Na hata hapa JF watu wakatamani "bora JK." Wapinzani nao wakaimba wimbo huohuo.

Kuna "makosa ya makusudi" kwenye hoja zako. Moja ni kudai "PM wa kwanza wa Jk, yaani Lowassa, alikuwa anafahamu wapi taifa linatakiwa kufika." Really? Kwa ufisadi wa Richmond? 🙄

That aside, Jk alimtengeneza JPM kuja kuwa rais wa kulaumiwa, not essentially kwa sababu he was a fearless tyrant, bali kwa vile katika kusafisha madudu ya mtangulizi wake, akageuka adui wa Watanzania wengi. Watanzania wanapenda utelezi. Wanataka kuamka saa 4 asubuhi huku fedha za kifisadi zinamiminika kwenye akaunti zao. Wanapenda kuwa na pato la ziada la kuwawezesha kumudu kuwa na nyumba ndoto zisizohesabika. Kuishi maisha ya kitajiri pasi elimu wala ajira kuna hitaji moja muhimu: uhalifu.

Long story short. Haya yote unayoshuhudia muda huu yalitengemezwa kabla JPM hajaingia madarakani. Ofkoz kuna wakati hata Jk mwenyewe was worried kuwa labda alifanya miscalculation kum-pick JPM as a fall guy, but the end justified the means.

Here we are again, Jk is back at the helm.

Hii ni condensed version of a very long episode, which essentially started in 2005. Panapo majaliwa, you'll read it in a book. Kwa sababu tusipoweka rekodi sawa kwa njia ya maandishi, sio tu wazushi watakuja na stori "za kusafishana" bali pia vizazi vijavyo havitoweza kuelewa kwanini nchi yao ipo the way itakavyokuwa.

Finally, kama hadi leo hakujawa na jitihada za kuangalia "the ugly side of Mwalimu's ujamaa/rule," kama ambavyo tawala za Mwinyi, Mkapa, na Jk hazijawekwa under microscope, ni ngumu kufahamu "the ugly side of JPM," including how hiyo miradi unayosema ni ya maslahi ya taifa ilivyogubikwa na ufisadi mkubwa na ilitekelezwa bila kujali ridhaa ya wananchi kupitia wawakilishi wao bungeni. To make matters even worse, tofauti na Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jk, kwa JPM kuna suala la "kulinda legacy yake." Na ukigusa tu mapungufu yake hata ya kibinadamu, tarajia mashambulizi ya nguvu from watetezi wake, most of whom bado hawaamini kuwa they guy is actually gone for good.

Nakubaliana na wewe kwenye baadhi ya mambo ila sikubaliani na hili la ufisadi kwenye mirasi ya JPM.

Wewe Chahali ni fisadi pia kwakua, mlipoenda Marekani na wenzako kwaajili ya kuongeza ujuzi, CIA waliwa propose muwe double agents.

Mlipo rudi wewe na mwenzio hamkuripoti hilo lakini wengine waliripoti juu ya njama za CIA.

Wewe uliendelea kujilia hela toka USA mpaka ulipokua Uingereza na USALAMA walikuchana kwa ushahidi na kuachishwa na kukabiliwa na uhaini.

Uko Glasgow kwa sasa na ulikua ukiishi na bibi kizee. Huku iwezi rudi!

Kwasasa huna pande sahihi za kukupa data. Miradi haina ufisadi.

Ni kweli JK ndio rais wa nchi hii kwa sasa.
 
Badala ya kumtazama mtu mmoja tufanye mabadiliko makubwa ya mfumo wetu wa utawala.
Katiba Mpya.
 
Sina hakika
Sina hakika na Hilo..ila nilicho na uhakika ni kuwa matajiri wa ndani wakiungwa mkono na mabeberu wana influence kubwa Sana katika masuala ya uendeshaji wa nchi...sijui Kama SGR itaisha...sijui Kama Bwawa la Nyerere lutamalizika katika ujenzi wake...malori ya kusafirisha mizigo yaliyokuwa Kama yamepungua yako barabarani kwa Kasi...yalikuwa yamefichwa Sasa yameachiwa...Tony Blair alikuja hapa kutushauri...mgao wa umeme upo kimya kimya...mgao wa maji umetangazwa rasmi...magazeti ya nchi tajiri likiwemo Financial Times yameanza kutusifu...ukiona unasifiwa na mabeberu ujue Kuna tatizo mahali...arrogance kwenye taasisi za umma na idara za serikali imerudi kwa Kasi...juhudi kubwa zinafanywa kuichafua serikali ya awamu ya tano kuhusu utendaji wake...wanataka kufuta legacy...lakini unaweza kubadili fikra ndani ya vichwa vya wananchi walioaminishwa ubaya na uovu wa mabeberu na makuwadi wa ndani? Waliowahi kumsengenya JPM na wakadukuliwa baadhi wamepewa nafasi za juu serikalini...kumbe kumsema na kumdhihaki Rais wa nchi ni Jambo la kawaida...picha gani inapelekwa kwa wananchi? Kuna good governance hapo?!kwa maoni yangu kinachoendelea ndani ya nchi kwa sasa kinatisha..ni mtazamo wangu tu lakini...
Uko sahihi 100%
 
Fatma... hivi unaifahamu kweli nguvu alizonazo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Hayo unayosema yanawezekana kwenye nchi zenye MIFUMO IMARA ambayo Mtendaji HAOGOPI kutimuliwa kazi na rais... kama ilivyokuwa Marekani!

Tanzania hii, ambao hata Wakuu wa Idara Nyeti nao wanajipendekeza kwa watawala halafu utarajie wanaweza kufanya yale yaliyo kinyume na matakwa ya watawala... my friend, UNAJIDANGANYA!!

Basi ambacho hufahamu ni kwamba, JK ndie alipigania JPM awe rais! JK alianzisha miradi mingi sana ambayo mingine ilikuwa imeshaanza kama vile ujenzi wa barabara, madaraja, Mlonganzila, na mingine ilikuwa haijaanza lakini ilikuwa hatua za awali zote zimekamilika kama hiyo SGR, Gesi, na Bandari ya Bagamoyo!

JK alimwamini sana JPM kwenye suala zima la usimamiaji, kwahiyo aliamini ni JPM tu ndie atakayeweza kutekeleza hiyo miradi!! Tatizo wengi walidanganyika na janja janja ya Bernard Membe ambae alifanikiwa kuwaonesha watu kwamba yeye ndo chaguo la JK!

Watu wanashindwa kufahamu ni kwanini hata ile Sheria ya Mafuta na Gesi ilipitishwa haraka haraka wakati JK anatarajia kuondoka madarakani!!

JK alishapanga kumkata Lowassa, na alishafahamu akimkata Lowassa kulikuwa na uwezekano mkubwa wa Lowassa kwenda CHADEMA!!

JK alifahamu Lowassa akishaenda CHADEMA, uchaguzi ungekuwa mgumu sana, na yeyote kati ya Lowassa au JPM (asikudanganye mtu, huyu alishakuwa chaguo la JK) angeweza kuingia Ikulu!!

The Establishment iliogopa zaidi watu waliomzunguka Lowassa, especially Rostam Azizi kuliko ilivyomuogopa Lowassa mwenyewe! Watu walishafahamu shauku ya Rostam Azizi kuingia kwenye gas industry. Sasa kwavile waliona pia kuna uwezekano wa Lowassa wa kuingia madarakani... Lowassa Swahibu mkubwa wa Rostam Azizi; hapo ndipo Sheria ya Mafuta na Gas ikapitishwa fasta ili kuzuia uwezekano wa influence za Rostam unless waamue wenyewe kuifumua sheria!

Hapa upo sahihi lakini vilevile Mkapa aliingia madarakani na "mguu mzuri"!

In 1995, IMF, World Bank and Paris Club walianzisha the so-called Highly Indebted Poor Countries (HIPC) Initiative! Taasisi hizo zilikubaliana zisamehe madeni kwa 38 maskini zaidi duniani, na moja ya nchi hizo ni Tanzania!

Wakaweka conditions za namna gani selected countries zitakuwa approved, na Mkapa alipoingia madarakani, kupitia Reforms mbalimbali, hatimae akafanikiwa kuwashawishi Donors na hivyo kupungiziwa debt burden!

Kwamba RA ndie kamwaribu Mkapa, you might be right lakini sio aliyemfanya Mkapa asihamie Dodoma!

Lau kama Mkapa angesema ahamie Dodoma kwa kasi ya JPM, hata huko kwenye HIPC Initiative tungekuwa DISQUALIFIED instantly kwa sababu IMF na WB wasingekubali wao wasamehe madeni halafu mtumie mabilioni ya pesa eti kujenga majengo ya makao makuu ya nchi!

Hakuwa na pesa kivipi?!

JK wala Mkapa hawakushindwa kujenga SGR bali kwa miradi mikubwa kama hii, mambo yanaenda hatua kwa hatua! Kwa mfano, idea ya kujengwa SGR ilitokea awamu ya Mkapa! Alipoingia JK, wakaanza feasibility study, na hadi JK anatoka, feasibility study ilikuwa imeshakamilika, na ndo maana JPM alianza kujenga moja kwa moja!!

Lakini JK sio tu aliishia kwenye feasibility study bali alishapata hadi Contractor na Financier! Kampuni ya China Railway ikashinda na kupewa tenda ya ujenzi wa SGR ambayo ingekuwa financed na China EXIM Bank!

JPM alipoingia madarakani akakutana na wajuaji!

Wakamwambia KIkwete kahongwa na Wachina, kwahiyo tenda waliyopewa Wachina ni ya Kifisadi! Mbaya zaidi, wakamwambia hata Mikopo ya Wachina inatakiwa kuogopwa kama sumu kwa sababu, Wachina wakikupa pesa baada wanakuja kukunyang'anya miumdombinu waliyogharamia ili kujilipa madeni yao!!

Hapa watu wakaanza kusambaza habari za Wachina walivyoipora Bandari ya Hambantota, kule Sri Lanka kuonesha ni namna tunapaswa kuogopa mikopo ya Wachina!!

Jambo ambalo halikufahamika na "Wazalendo" hawa, habari za Bandari ya Hambantota zilikuwa ni Propaganda za Serikali ya Marekani chini ya Donald Trump ili kuzitisha nchi duniani zisiingie kwenye Belt and Road Initiative iliyokuwa imeasisiwa na China, ambayo ni threat kweli kweli kwa US!

Watu tuliposema hizo habari hazina ukweli wowote... tukaitwa MAFISADI!

Na kama kawaida ya JPM ya kupenda kufanya maamuzi kwa mihemuko, akawapiga chini Wachina akaanza mchakato mpya wa kutafuta Contractor mwingine na ndipo akapatikana Mturuki!!!

Watu tukaonya hapa kwamba mradi lazima utasua sua kwa sababu Mturuki hana pesa ya kutosha kama Mchina, na pia Uturuki as a country, isn't that stable!!

Kilichotokea?! Tukaanza kutanga tanga kutafuta mikopo, na hapo tukadondokea:-

Na pia:-

Yaani, leo hii wanataka kutuaminisha Mikopo ya China ni ya Kinyonyaji zaidi kuliko mikopo ya Benki Binafsi za Kimagharibi!

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hilo! But how far did we go katika kuachana na Mchina? The answer is HERE👇👇👇

Sounds like MAFISADI ndio wamewarudisha Wachina kwenye SGR baada ya JPM kufariki, right?! Anyway, heading ya hiyo habari ni hii hapa:-
View attachment 2009872
Kwanini Serikali ya Magu ikaamua kurudi tena kwa Mchina yule yule waliyesema ni Mnyonyaji na huwa anapora infrastructure alizogharamia ili kufidia pesa yake?

Akili za Mbayumbayu, changanya na zako!!

Mkuu Titicomb, nilikuahidi nitakuletea utafiti wa taasisi za Wataalamu wa Marekani wenyewe kuhusu mikopo ya Wachina na suala zima la Bandari ya Hambantota (Sri Lanka)! Sijasahau... nitakupatia!

Huo ni utafiti uliofanywa na Wamarekani wenyewe baada ya kugundua na wao kumbe walikuwa wanadanganywa na Serikali ya Trump... propaganda ambazo pia zilitumika na "Wazalendo" kumtisha JPM kuhusu Wachina!

Lakini wakati naahidi kutoa hiyo ripoti, wasome kidogo Harvard Business School kwenye publication yao ya February 2021...
View attachment 2009884

Abstract ya hiyo publication inasema:-

Lakini wasomi wetu, wakachukua propaganda za Trump na Timu yake wakaitumia kumtisha Magufuli!

Wengine tukajitahidi sana kuelimisha wafuasi wa JPM kuhusu uongo huu wa Marekani lakini kama kawa, ni kwavile tu tumevaa ngozi ngumu ndo maana tuliendelea kuelezea ukweli!

Nikipata wasaa, nitapekua kuitafuta ile ripoti ambayo imeelezea hadi Mikopo ya China vs Mikopo ya International Funding!

Inawezekana ni kweli Hakuwa na Pesa lakini ufahamu kwamba, ingawaje tunadanganywa Bwawa la Nyerere tunajenga kwa pesa zetu lakini uhalisia tunajenga kwa mikopo!!!

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba JPM ambae sera zake zilikuwa UNPREDICTABLE ndo alikuwa more bankable kumlinganisha na JK!

Remember, moja ya criteria zinazotumika na financial institutions kukopesha nchi ni Government Policy! Nchi ikishakuwa na unpredictable president, financial institutions zinakuwa even more cautionary kuikopesha kuliko nchi yenye kiongozi fisadi!!

Nakubaliana na wewe kwamba JK alikuwa ni Western Countries' Darling, na kwahiyo inawezekana hakutaka kuwakwaza kwa sababu wao walikuwa wanaupinga zaidi mradi! Hata hivyo, wakati JK akiendelea na harakati za Bwawa la Nyerere huku Brazil wakiahidi ku-finance mradi, kiwango kikubwa cha gesi kikaendelea kugundulika!!

From Economic Point of View, uwekezaji kwenye sekta ya gesi ni bora maradufu kulinganisha na uwekezaji kwenye Nyerere Dam!

Trillions of Shilings tunazowekeza kwenye Nyerere Dam, end product is just ELECTRICITY! Umeme ambao pia utategemea sana masuala ya sura ya nchi in terms of climate!

Kinyume chake, Gesi sio tu inakupatia umeme wa uhakika bali yenyewe kama yenyewe ni nishati inayoweza kutumika majumbani, viwandani na kwenye magari! On top of that, ukishafanya natural gas processing, unapata by-products za aina mbalimbali zinazoweza kuchochea ukuaji wa sekta zingine za uchumi....

Kwa mfano, soma hapa:-

Kwamba, moja ya by-product inaweza kutumika kujenga viwanda vya kuzalisha mbolea, na ndo maana kuna mpango wa kufungua hicho kiwanda chenye thamani ya zaidi TZS 4 Trillion!

As of now, Tanzania hatuna kiwanda kikubwa cha kufikia hata nusu ya hicho!! Na uzalishaji wa mbolea ni sehemu tu ya namna gani by-products zinaweza kutumika!! Hapo hatujazungumzia up-stream benefits of the gas industry, wala mdi and downstream!!

Faida kama hizo HUWEZI kuzipata kwenye Mradi wa Bwawa la Nyerere ambao utaishia tu kuzalisha umeme ambao pia unaweza kuzalishwa kwa gas!!

I wish ungeona tangazo la TPDC likitangaza tenda ya usambazaji wa gas infrastructure across the country kisha u-digest mwenyewe economic impact ambayo ingepatikana!!!

Hata Muhungo alipozungumzia "uchumi wa kisasa unahitaji gas" alimaanisha hayo... we're not talking about electricity but economic multiplier effect inayoweza kupatikana kwenye gas industry investment as compared to itakayopatikana kwenye Bwawa la Nyerere!

Hivi kuna mahali January amesema anaachana na Mradi wa Bwawa la Nyerere?!

Hivi ni uchumi wa aina gani mnaozungumzia wenzetu wa kuona Bwawa la Nyerere ndo Alpha and Omega to the point mengine yoooooooooooote yasifanyike but Bwawa la Nyerere?!

Kwani January akiendeleza na mipango ya uwekezaji kwenye gesi, inazuia nini kuendelea na Bwawa la Nyerere?!

The problem watu mlilishwa sana propaganda, na zikawakaa barabara!!!
Hadithi ndefuuu!

Tafuta umsikie JK mwenyewe akikiri ba kusema, waliamuakuusitisha mradi wa SGR kwakua wao wangejenga SGR kama Kenya na ingesumbua baadae.

Magu kuja, akalianzisha kwa style yake na ya umeme na kuachana na mkopo wa China Exim.
 
Hadithi ndeeeefu lakini umesoma... hivi zinakutosha kweli wewe?!
 
Hadithi ndefuuu!

Tafuta umsikie JK mwenyewe akikiri ba kusema, waliamuakuusitisha mradi wa SGR kwakua wao wangejenga SGR kama Kenya na ingesumbua baadae.

Magu kuja, akalianzisha kwa style yake na ya umeme na kuachana na mkopo wa China Exim.
kwa hiyo ni mradi wa magufuli,alitoa bei gani
 
January kajitakia..huwezi kusema nchi haina lift ya kubeba mziti wa tani 26 wakati watu wanamacranes yamtapakaa yanayiweza kubeba tani hadi 100..So sabb yakusema crane ya kubeba tani 26 haipo nchini hivyo bwawa litachelewa kujaza maji hadi march 2022 hazina maana..ndo maana anashambuliwa
Nadhani tatizo lako ni uelewa mdogo. Unadhani kuwa kufaa kwa crane ni uwezo tu wa kunyanyua mzigo.

Kuna aina zaidi ya 10 ya cranes. Na inayohitajika huko kwenye bwawa, hakuna nchini na hakuna kwenye masoko bali hutengenezwa kwa order.
 
You got it all wrong. JPM was JK's candidate. Jk aliua ndege wawili kwa JIWE moja in 2015. On one side, kwa kusimama na JPM aliua uwezekano wowote wa hasimu wake Lowassa kujipenyeza kwa mgongo wa nyuma katika "tano bora" ya mgombea urais wa CCM. Kwa upande mwingine, JPM made a perfect fall guy. Jk knew JPM had some serious health issues, and he wouldn't last long kwenye urais. Lakini by the time he's gone, Watanzania wangekuwa wanamkumbuka Jk licha ya utawala wake kuwa wa kifisadi kupita maelezo. And that's exactly what happened. Badala ya watu kushukuru kwamba angalau under JPM sasa Tanzania sio major importer and exporter wa sembe, au sio major hub ya arms and people trafficking, watu wakamkumbuka Jk kwa vile "vyuma vilikaza" under JPM. Na hata hapa JF watu wakatamani "bora JK." Wapinzani nao wakaimba wimbo huohuo.

Kuna "makosa ya makusudi" kwenye hoja zako. Moja ni kudai "PM wa kwanza wa Jk, yaani Lowassa, alikuwa anafahamu wapi taifa linatakiwa kufika." Really? Kwa ufisadi wa Richmond? 🙄

That aside, Jk alimtengeneza JPM kuja kuwa rais wa kulaumiwa, not essentially kwa sababu he was a fearless tyrant, bali kwa vile katika kusafisha madudu ya mtangulizi wake, akageuka adui wa Watanzania wengi. Watanzania wanapenda utelezi. Wanataka kuamka saa 4 asubuhi huku fedha za kifisadi zinamiminika kwenye akaunti zao. Wanapenda kuwa na pato la ziada la kuwawezesha kumudu kuwa na nyumba ndoto zisizohesabika. Kuishi maisha ya kitajiri pasi elimu wala ajira kuna hitaji moja muhimu: uhalifu.

Long story short. Haya yote unayoshuhudia muda huu yalitengemezwa kabla JPM hajaingia madarakani. Ofkoz kuna wakati hata Jk mwenyewe was worried kuwa labda alifanya miscalculation kum-pick JPM as a fall guy, but the end justified the means.

Here we are again, Jk is back at the helm.

Hii ni condensed version of a very long episode, which essentially started in 2005. Panapo majaliwa, you'll read it in a book. Kwa sababu tusipoweka rekodi sawa kwa njia ya maandishi, sio tu wazushi watakuja na stori "za kusafishana" bali pia vizazi vijavyo havitoweza kuelewa kwanini nchi yao ipo the way itakavyokuwa.

Finally, kama hadi leo hakujawa na jitihada za kuangalia "the ugly side of Mwalimu's ujamaa/rule," kama ambavyo tawala za Mwinyi, Mkapa, na Jk hazijawekwa under microscope, ni ngumu kufahamu "the ugly side of JPM," including how hiyo miradi unayosema ni ya maslahi ya taifa ilivyogubikwa na ufisadi mkubwa na ilitekelezwa bila kujali ridhaa ya wananchi kupitia wawakilishi wao bungeni. To make matters even worse, tofauti na Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jk, kwa JPM kuna suala la "kulinda legacy yake." Na ukigusa tu mapungufu yake hata ya kibinadamu, tarajia mashambulizi ya nguvu from watetezi wake, most of whom bado hawaamini kuwa they guy is actually gone for good.
Bro hauko informative, huna facts, uko na hear say narrative instincts, ushabiki kwa baadhi na chuki kwa baadhi. Njoo na comparative table matrix ya hawa Marais na mipango mkakati ya nchi itakusaidia sana.
Uje na quadrant ya Ansof Matrix kuidadavua hio mipango mkakati.
 
Wenye chuki na hila na Magufuli usitarajie wakirithi mipango ya Magufuli istawi kwa kiwango tarajiwa. Magufuli alifanya kwa ajili ya generation ya 2050+ hadi 2100+ inahitaji akili kubwa kujua sacrifice yetu ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kukidhi utekelezaji wa malengo ya kimkakati ya kitaifa.
 
Nakubaliana na wewe kwenye baadhi ya mambo ila sikubaliani na hili la ufisadi kwenye mirasi ya JPM.

Wewe Chahali ni fisadi pia kwakua, mlipoenda Marekani na wenzako kwaajili ya kuongeza ujuzi, CIA waliwa propose muwe double agents.

Mlipo rudi wewe na mwenzio hamkuripoti hilo lakini wengine waliripoti juu ya njama za CIA.

Wewe uliendelea kujilia hela toka USA mpaka ulipokua Uingereza na USALAMA walikuchana kwa ushahidi na kuachishwa na kukabiliwa na uhaini.

Uko Glasgow kwa sasa na ulikua ukiishi na bibi kizee. Huku iwezi rudi!

Kwasasa huna pande sahihi za kukupa data. Miradi haina ufisadi.

Ni kweli JK ndio rais wa nchi hii kwa sasa.
Mkuu,hebu nipenyezee hii ya Jasusi Chahali....
 
Hili la Jk kumtengeneza JPM sio kweli, ni ukweli kuwa alikuwa na lengo la kumtosa EL na kumuingiza Kachero, tatizo ilikuwa udhaifu wake wa kutojua kumbe EL alikuwa ahead of him akiwa ametengeneza wajumbe ndani ya mfumo wa JK. Kumbuka Ben was alive na very powerful fugure, akajua JK ataangukia pale. Akamwambia JPM ajiingize wakijua Jk hatoboi.
Ukisikia waccm wanaimba wanaimani na EL hii hakuijua, dk za mwisho wajumbe waliamua akimwaga ugali wanamwaga mboga WAKOSE WOTE .
Kusema alimtengeneza ni big NO yeye alimuandaa Kachero.
Kuhusu kujua asingedumu si kweli japo ilijulikana na machine,
Labda ukisema ametumia kumsilence inaweza kufikirika. Maana huyo jPm alikuwa chiza ana rungu anapiga yeyote aliigusa familia na washirika.
Sasa hii nchi anahitajika kichaa ×2 kuliko JPm la sivyo hutuendi.
Huwezi ukaja waziri eti haipo crane kunyanyua tani 26 hayuko serious, deal za mafuta ziko zinaletwa zinajulikana uzuri record inaandikwa kila siku itatumika hata miaka 100 ijayo, maana katiba itabadilika siku moja
Hakika hakika
 
Nadhani tatizo lako ni uelewa mdogo. Unadhani kuwa kufaa kwa crane ni uwezo tu wa kunyanyua mzigo.

Kuna aina zaidi ya 10 ya cranes. Na inayohitajika huko kwenye bwawa, hakuna nchini na hakuna kwenye masoko bali hutengenezwa kwa order.
Project engineer hakujua kuwa kutakuwa na crane mapema kama hiyo ili iwe site na iendane na hatua za mradi .mbona kam hiyo crane nikama ya kushtukia hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Janu shikamoo.

Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu.

"Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate na ana ulinzi mkali sana. Hatimaye, JPM akawa president.

JPM aliwekwa pale kwa ajili ya kusimamia kwa dhati, nguvu, na kwa kutumia kila aina ya njia, utekelezaji wa mipango mingi ya kwenye makabati. Hii ni mifano ya miradi ya nchi ambayo siyo ya JPM na ambayo imefungamana na national interests including national security.

1. Jeshi na taasisi za kiusalama kuwa Dodoma PLUS serikali kuwa Dodoma.
2. SGR
3. Bwawa la Mwl Nyerere
4. Ndege, meli, bandari, na miundombinu mingine mingi mikubwa.
5. Mapambano ya kisayansi ya ufisadi na masuala ya usalama wa taifa.

Hii miradi ilianzishwa na Mwl Nyerere. Mzee Mwinyi hakuifanya sana kwa sababu Nyerere aliacha taifa masikini sana kwa sababu ya sera zake za uchumi na vita ya hovyo na ya kibinafsi ya Uganda. Mzee Mwinyi akashindwa pia kwenda mbali maana alikuwa legelege na ufisadi pia ukaitafuna serikali yake. Ila sera zake ziliitoa nchi katika mateso ya uchumi wa Nyerere kwa kiasi fulani.

Mkapa had a focus. Alikuta nchi haiko stable. He inherited an inflation of 37%. He brought it to 4.1%. Kwa bahati mbaya, mwaka 1995, baada ya kuwa candidate wa CCM, sherehe yake ya kumpongeza kuwa candidate ilihudhuriwa na kijana wa miaka 25 hivi, anayeitwa Rostam. Mimi ninaamini, Rostam ndiye aliyemharibu Mkapa. Mambo aliyotakiwa kufanya Ben, ni pamoja kuhamia Dodoma na alifanya hiyo kazi kiasi flani, miundombinu ya kimkakati, yes he did kiasi chake, lakini pia swala la energy na ulinzi na usalama. Hakufanikiwa sana maana nguvu nyingi zilikwenda kuimarisha uchumi kwanza. Kilichomsaidia ni kuwa na Governer wa Central Bank ambaye alikuwa ana uwezo mkubwa sana kichwani na ambaye alikuwa practicing economist. Hakuwa mwalimu wa uchumi kama hawa waliokariri makaratasi and several western economic models. Hawajui hata nchi inataka nini.

Mkapa alipoondoka, nchi ilikuwa imeonyesha mwelekeo mkubwa sana wa kiuchumi. JK alikuta hazina imeshiba. Alianza kutekeleza miradi ya kimkakati kwa kiasi chake lakini hakufanikiwa. Kwa mfano, alitamani kujenga SGR but akawa hana pesa. Bwawa la umeme hakuwa na pesa lakini pia alikuwa ni darling wa western world. Hakutaka kuwakwaza wakubwa. Kwa bahati mbaya, utawala wake ulighubikwa pia na ufisadi ulioshiba na ajali nyingi za kujitakia za kisiasa. PM wake wa kwanza angalau alikuwa anafahamu wapi taifa linatakiwa kufika. Hata hivyo, yeye na mwenzake, walijikuta serikali yao inakosa focus mapema sana. Maana walitaka kufanya kila kitu. Taifa lilisogea lakini at a declining pace! Sasa kaka January, baada ya kutokueleweka kwa direction ya taifa, ndipo "Wenye nchi yao", wakaja na mpango wa kumpata mtu ambaye siyo tu kwamba ni mwendawazimu, lakini atatekeleza mambo yote yaliyoko kwenye makabati. Mimi kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini, JPM aliandaliwa kwa ustadi mkubwa sana mwishoni au katikati ya mwaka 2009. Na aliyetumika kukamilisha mwanzo wa huo mpango wa yeye kuwa President alikuwa ni Premier Pinda. Mizengo alitekeleza bila kujua. Na baada ya mizengo kutekeleza, akaachwa pembeni. Wakaendelea na plan yao.

JPM alipewa kazi ya kutekeleza hayo niliyoyataja hapo juu. Kwa bahati mbaya au nzuri, JPM alikuwa anapenda sifa sana. Aliyatekeleza sana na kwa nguvu na kwa speed kubwa ambayo was not expected na ikaonekana kama hii miradi ni ya kwake. This's the fact. Hii miradi siyo ya JPM. Ni ya nchi. Usipoitekeleza, au kuikanyaga, unaikanyaga nchi na mifumo yake ambayo siyo rafiki kwakweli.

Ushauri wangu: Pamoja na roho aliyokuwa nayo JPM, na pamoja na ujinga wake na uwendawazimu mwingi aliokuwa nao, usifikiri figisu dhidi ya bwawa la Nyerere na miradi mingine itamuacha mtu yeyote salama. You're my brother. "Wenye nchi yao", ambao siyo watu "wema" are watching and monitoring. Nahisi mama kabadilika baada ya kufahamu ukweli. Kindly thank me later bro. My greetings to Wifi. Shemeji yako ananisubiri. Ngoja akapewe anachotaka.
Hivi kwa mikopo aliokopa huyu uliemuita mwendawazimu kunaajabu gani kutekeleza hayo?Huyu mwendawazimu ndio muasisi wa miili ya watu kuokotwa kwenye viroba kwangu ndiye kiongozi wa hovyo tungu tumepata uhuru.
Hata kama ni wewe kwa mikopo ya huyu mwendawazimu usingeshindwa kufanya hayo labda uwe poyoyo,kumbuka mwendawazimu ndio anashikila no1 kwakukopa pesa nyingi kuliko yoyote tangu tumepata uhuru.
 
Mkuu umenena, miradi yote mikubwa ipo kwenye radar, kuna watu watachukuliwa kama mwewe achukuwavyo vifaranga, maana wanadhani Tanzania ni ile ya JK, ya kujifanya eti hatuwezi kujaza maji ili SGR isikamilike na kuanza kusingizia vitu vingine. Mh. Rais Mama naona kaanza kuustukia mchezo, though hajachelewa ila anaonekana si mwepesi wa kusoma mchezo kuwa Dkt Magufuli haikuwa bahati mbaya kabisa na wenye nchi walimuandaa na wao ndiyo wanajua nani atakuwa rais 2025 na si kwa manufaa ya mtu binafsi bali ni kwa maslahi ya wananchi na sidhani kama kosa watarudia la kumuweka rais fisadi au mroho wa rasilimali za watanzania. Urais wa nchi hii si wa mtu kujitamkia bali ni kwa jinsi ambavyo unatakeleza ya mambo kwa maslahi ya taifa. Nadhani Mungu amfungue Mama aachane na akija Makamba ambao wanafikiri hii nchi inaweza kuibiwa tena. Mama wamembip wenye nchi kwa TPA naona mtihani kafaulu ngoja zingine zije zenye majina makubwa hapo ndipo atajipambanua Mama yetu kama viatu vya 2025 vitamtosha. Uzuri Mama hana roho ya wizi ni muadilifu ila makundi aliyoanza nayo baada ya kifo ya Dkt Magufuli ndiyo yanamuangusha
 
Project engineer hakujua kuwa kutakuwa na crane mapema kama hiyo ili iwe site na iendane na hatua za mradi .mbona kam hiyo crane nikama ya kushtukia hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Makamba ni mwizi na fisadi. Kila mradi huwa unakuwa na plan zote. Makamba anataka bwawa lisikamilike ili SGR isiwepo, waende kwenye umeme wa gas watakapo pata 10% ili wapate hela za kushindana na Mama 2025. Yaani Mwigulu yeye kajiandalia kwenye tozo kwa ajili ya kushindana na Mama 2025. Yaani kwa ufupi Makamba na Mwigulu wanashindana kukusanya hela za kuhonga wajumbe 2025. Kila mmoja anajaribu kuona namna ya kupata hela. Mwigulu tozo kafanikiwa, Makamba kwenye nishati kajaribu kuleta mgao ili apige kashindwa ila najua lazima aingie mikataba mingi ya upigaji. Na kibaya Mama sijui anashindwaje kutumia kitengo kupata independent opinion juu ya haya. Mama awapige chini wote watu wa maslahi binafsi kama akina Mwigulu, Makamba, Makala, etc
 
Back
Top Bottom