R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
Ishakuwa kawaida kila mara kusikia umoja wa mataifa ya i;aya wanatoa misaa ya ku;eta unafuu wa hali za uchumi kwa wamamchi, pesa zinatolewa lakini zinaishia juu kwa juu
Maana tangu zamani tunasikia tu misaada ya kuwainua watanzania kiujasiriamali ili wakuze uchumi inatoka kila mwaka.
Ajabu ni kwamba hizo pesa zikishatolewa huji kusikia chochote kuhusu serikali kutoa hio misaada, na labda kama itatokea wametoa basi ni mkopo ambao inabidi urudishe tena kwa riba,
Hakuna namna ya kuweza kuomba huko huko iingie kwenye account ama wao waje huku wasimamie zoezi zima ?