Naunga mkono hoja! Nimesikia eti zitasimamiwa kikamilifu!! Nakuhakikishia subiria next report ya CAG.Ishakuwa kawaida kila mara kusikia umoja wa mataifa ya i;aya wanatoa misaa ya ku;eta unafuu wa hali za uchumi kwa wamamchi, pesa zinatolewa lakini zinaishia juu kwa juu
Maana tangu zamani tunasikia tu misaada ya kuwainua watanzania kiujasiriamali ili wakuze uchumi inatoka kila mwaka.
Ajabu ni kwamba hizo pesa zikishatolewa huji kusikia chochote kuhusu serikali kutoa hio misaada, na labda kama itatokea wametoa basi ni mkopo ambao inabidi urudishe tena kwa riba,
Hakuna namna ya kuweza kuomba huko huko iingie kwenye account ama wao waje huku wasimamie zoezi zima ?
View attachment 2678644
Chini ya SAA100 ndo zisimamiwe kikamilifu hapana hamna kitu hapoNaunga mkono hoja! Nimesikia eti zitasimamiwa kikamilifu!! Nakuhakikishia subiria next report ya CAG.
Yani just imagine bilioni 400 hii misaada wakiwapa hata milioni kumi kumi vijana elf 15 hio ni bilioni 150, wao wachache wakibakiwa na bilioni 250 kwajili ya njaa zao kuna ubaya gani ?Naunga mkono hoja! Nimesikia eti zitasimamiwa kikamilifu!! Nakuhakikishia subiria next report ya CAG.
Kaunga hoja kwamba misaada iwe inatoka direct ikibidi bijana wawe wanatuma maombi kwenye mitandao ya huo umoja wa ulaya, mzigo unaingia kwenye account kwa wataokidhi vigezo.Chini ya SAA100 ndo zisimamiwe kikamilifu hapana hamna kitu hapo
Umesema vyema lkn hawajawah kua na nia hiyo!!Yani just imagine bilioni 400 hii misaada wakiwapa hata milioni kumi kumi vijana elf 15 hio ni bilioni 150, wao wachache wakibakiwa na bilioni 250 kwajili ya njaa zao kuna ubaya gani ?
Ni kweli tunanyongwa ila walau haki itendeke basi hata kidogo