Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
Katika maisha nilikutana na bek3 wengi niliokula na sasa na umri huu yananitokea haya
Tumshauri auze chenji, au tumuache tu ahangaike???Daaah
Mvivu huyo wa kutembeza nyanya tu...Tumshauri auze chenji, au tumuache tu ahangaike???
Ameenda kumtia housegirl kimoja kabla wife ajatoka kusuka nywele za weekendYap hayo au umedukuliwa?
Atafute milioni 20 alime mchicha, inalipa sana.....Mvivu huyo wa kutembeza nyanya tu...
Au ngoja mi nampa ushauli kwanini asitafute mtaji aanze kilimo cha mboga mboga et
Mmmmh million 20 mbona kama hapo atachezea tuu.. kwani asitafute akapata milion 50 hii ataweza kuwa na bostani ya uwakikaAtafute milioni 20 alime mchicha, inalipa sana.....