Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Wazungu walikuwaga obsessed na matiti makubwa

Ila siku hizi nao wameangukia kupenda big butts
 
kwa zama zetu hizi, na tujiulize matako makubwa yana kazi gani hasa?
-yana saidia kulipa bills?
-Yana dumisha ndoa/mahusiano?
-nk
Mbona watu wa kabila zingine za mashariki ya mbali na magharibi hawana hizi mambo?.
Ujio wa ukubwa wa makalio ni kutokana kuhamasishwa wa social media. naam, hata ushoga ni sehemu ya maendeleo ya social media pia.
Cha ajabu sana, maendeleo ya sayansi na teknolojia yanawasaidia watu wa kabila hizi zingine, sisi huku yanatuangamiza??

kuna mtu aliwahi kusema.
"
Kama Mungu alitaka tufanane na Weusi angetufanya sote tuwe na rangi moja na fikra sawa. Lakini alituumba tofauti; Weupe, Weusi, Wanjano, watawala na watawaliwa. Katika upeo sisi ni bora kuliko Weusi na hilo halina ubishi kwani limejihidhirisha kwa miaka mingi iliyopita.

Hawana lolote jema isipokuwa mashujaa wa kupiga kelele, kucheza ngoma, kuoa wanawake wengi na kupenda sana ngono. Hebu sasa tukubali kuwa mtu Mweusi ni alama ya umasikini, udumavu wa akili, uvivu na aliyekosa ushindani.'
 
Kwani ni kipi kiliwafanya hao mababu zetu wapende sura? Au tabia? Utagundua kila mtu au kila zama na kitu wakipendacho binafsi Napenda sana t*ko lenye hips au limegawanyika vizuri yaani nimewaza tu hivi najikuta nimeenda mbao
 
Na hili nalo litapita. Binafsi naamini inatokea katika hali ya kufuata mkumbo tu na kwa uzoefu wangu wanaowaza ujinga huwa wana nguvu sana ya ushawishi na kufanya jambo fulani kuonekana la maana sana au lina tija sana kwenye jamii. Hata mimi hapo kabla sikuwa na interest na wanawake wa aina hiyo ila kutokana na ushawishi mkubwa kwenye jamii unajikuta unaamua acha na mimi nikashuhudie hicho tunachoaminishwa kina mvuto zaidi. Nilichogundua hakuna jipya na kuamua kubaki njia kuu. Ni kama hapo zamani kila kijana alikuwa ana ndoto ya kuzamia akaibukie ughaibuni kusaka maisha lakini ulikuwa ni upepo tu na hayo mambo tayari yamekwishwa kupoteza umaarufu wake.
Ni kama Misimu tu katika lugha ya Kiswahili ambayo huja na kupotea.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
World wide mzee hadi wazungu now wapo obsessed na mizigo
 
Booty zitabaki kwa miaka 3000 mbele acha utani na mzigo ww
 
Duuuh very deep. Inafikirisha kwa kweli.

Ahsante mkubwa.
 
Huo ndo haupingwi

Na ndio maana dada zetu wanajitahidi sana kila wakiweka picha zao kwenye mitandao basi lazima wapige picha tako lionekane kama haitoshi wengi wanalibinua kabisa ili lionekane. Hapo ndo furaha yao
Kweli bro,

So kwa upande wako, ulijikuta tu automatically unapendelea big butts au kwa namna gani ilikufanya uone tako nene ndio your thing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…