Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

I disagree yet stands to be corrected.

Obsession ya makalio makubwa sio modern obssesion. Ipo tangu enzi za Stone Ages.
Obsession ya makalio makubwa ni natural kwa mwanaume na unaweza sema ipo deeply embedded kwenye DNA ya mwanaume na nature yenyewe kama sehemu ya kuendeleza maisha duniani.
Sababu makalio makubwa, kiuno chembaba, hips pana, maziwa yaliyosimama na chuchu zilizochomoza kama jua la asubuhi, vinaashiria mwanamke huyo ni mwenye Afya na fertile anaweza pia anafaa kupass vinasaba vyangu kuelekea generation nyingine hence muendelezo wa maisha duniani.
Tofauti na mwanamke mwembamba kupitiliza na asiye na afya kwani ni wazi hatoweza kuzaa na kupass vinasaba vyangu vyangu kuelekea next generation.

Hivyo conclusion ni makalio makubwa ni sehemu ya human's natural survival instincts.
Lakini nature imefanya hiyo instinct iwe kama kivutio, ipelekee kuwa na hamu na urge ya sex pleasure na kureproduce hence kuendeleza maisha.
Na kama ilivyo Sex, inafanyika sababu kuna pleasure kwa kuwa binadamu ni very intelligent animal na ana uwezo mkubwa wa kufikiria na kuhoji kuliko viumbe wengine wanaoishi instinctively bila kufahaumu.
Means ungemwambia fanya sex ili uzae tu asingefanya kama hakuna sababu maalum.

Reproduction hence Survivability.
Shit! nilidhani hili jukwaa ni Intelligence.
 
Wazungu walikuwaga obsessed na matiti makubwa

Ila siku hizi nao wameangukia kupenda big butts
Sijui unavosema wazungu unamaanisha gani maybe ni type ya hawa wa Thimba anyway wazungu wanapenda sana booty since colonialism wao na booty tu ndo maana walivyooona big natural booty from S.A kwa Xhaka Zulu wakamsafirisha wawe wanamuona tu uko makwao the rest ni kuwa dada wa watu akafa na magonjwa ya zinaa, nazungumzia Sara Baartman mdada aliejaaaliwa natural BIG ASS/BOOTY/NYA/SHAPE yaani ni Booooonge la TAKO Sijui unanielewa nikisema booonge la TAKO anyway niliishia kuona tu michoro yake na kuelekezwa advance kwenye somo la HISTORY1 mcheck how alilook alikeView attachment 2362920
sara.baartman_1663692808298415.jpg
sara.baartman_1663693599095784.jpg
sara.baartman_1663693809084165.jpg
 
Nina miaka 76 na tangu napata akili makalio yalikuwa kwenye chati na kamwe hayajawahi kushuka na hayatakaa yashuke. Sasa sijui unaongelea nini mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]

Mwanamke halisi wa Kibantu lazima awe na tako !!!
Wee babu wee Ni muhuni inakuwaje uanfatilia makalio had kwa umri wako huo Ni uongo tu lzm una age ya 25 au 27 hv [emoji23][emoji23] haiwezekani uwe kibabu alfu Bado unaangiak na makalio hahahahaha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni kama kipindi cha nyuma ilikua Mwanaume mwenye kitambi ndio anaonekana tajiri,ana pesa na mademu walimbabaikia! So,wengi walitamani kua na vitambi!!

Baada ya muda hilo ni kama limepita,sasa hivi wamejua kua Six pack ndio bora zaidi,

So,hata hili la kupenda makalio makubwa nalo litapita tu,

Labda niulize swali,
Hii issue ya kupenda makalio makubwa ni world wide au ni Africa tu?
Africa tu mzee wazingu hapn hata wazungu wakija hapa bongo Mara nyingi hudate na wanaweka modal sna tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke mzuri ni mwenye mzigo mwenye shape ya kibantu aliyejaaliwa neema za allah!-in shehe kipoozeo voice
 
Ila pia kwa uchunguzi wangu na test zangu nilizozifanya kwa wanawake wenye makalio ya kuvutia wengi wamesha ***** vibaya sna ...nimeona kwa watatu wanne HV so mwnamke mweny kalio kubwa niwa kwenda nae bar tu siyo ishu snaa kuoa Wal nn wengi wamearibiwa mbaya

Jus tu niliikutana na bint wa chuo cbe hapa. Tako zuri mno ila tayari nae kasha gawa 0713

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wee babu wee Ni muhuni inakuwaje uanfatilia makalio had kwa umri wako huo Ni uongo tu lzm una age ya 25 au 27 hv [emoji23][emoji23] haiwezekani uwe kibabu alfu Bado unaangiak na makalio hahahahaha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
We ishi maisha yako bro. Ukianza kufuatilia ya wengine sijui vibabu vihuni sijui nini hutaweza. Maisha ni haya haya hakuna mengine. Ni lazima tu tuyafurahie kila mmoja kwa jinsi yake ali mradi hatuvunji sheria...😬😬😬
 
Back
Top Bottom