Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Hahah kumbuka unajadiliana na konda/utingo mzee baba,hana exposure wala nini.

Lkn ataazima simu kwa dereva wake na atawapigia kura wa-ghana maana Nyerere mwenyewe alisema Africa ni moja na waafrika ni wamoja.
🤣🤣🤣 Haya bwana utingo, si tunashukuru tu kwa kuwa Kodi yako inabaki hapa tz, haiendi kwenu Ghana. Hayo mengine hayatutii hasara yoyote.
 
Wakiwa jukwaani wanaimba yope ya magufuli wapewe muda wajinadi wapigiwe kura na hilo nyomi hapo uwanjani
 
Upo sahihi kabisa, hata sisi tupo huru kabisa kuvote for any artist we want, be Nigerians or Kenyans, its our choice
 
mimi nina mpwa wangu ni msanii lakini nasema... wacha hawa wasanii wa Bongo wanyooshwe tu kwenye hili ili waache kujiuza kama vyangudoa.
mbona wenzao wa Nigeria (ambao nao wanahitaji pesa pia) wamesimama kupigania haki kuliko kutukuza watawala??
 
Siasa za Afrika ni za kipumbavu, unakuta anaedai Demokrasi hajui demokrasi.
 
ITATEGEMEA NIMEAMKAJE.
 
Yaani mvua inanyesha na wasanii wamekaa kimya tu hata hawasemi ki2 mxxx
 
Upo sahihi kabisa, hata sisi tupo huru kabisa kuvote for any artist we want, be Nigerians or Kenyans, its our choice


Ni sawa kabisa, lakini kwanini mnafanya iwe big deal?
 
Tumetetereka na sisi tunamteteresha!
Apigiwe kura na mataga, hakuna mpinzani atakayempigia kura huyo kidudumtu kakomaa kama ajuza
 
3 long days mnadiscuss halafu unasema mimi ndio nachukulia kama big deal? Okay.
Hapa ni JF mkuu, everybody speaks hi/her mind openly hata kama ni mwaka mzima, mods wakiona thread ina tatizo wataifunga,
Simple, quit the discussion kama unaona umepotea njia
 
Alafu utaskia chadema hawategmei wasanii[emoji3]...mim siipend ccm ila kwa hili sio chedema tu..hapa kuna hate ya WCB inatembea..team fulan imetumia chadem kama kichaka tu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hate ya WCB.....Wewe jamaa una akili sana. Ila hilo kopo tupu lililoanzisha uzi halikuona hilo. Kwasababu yeye anaichukia chadema, ameona kuwa chadema ndio waanzilishi wa uzi. Ccm ni janga.
 
Hapa ni JF mkuu, everybody speaks hi/her mind openly hata kama ni mwaka mzima, mods wakiona thread ina tatizo wataifunga,
Simple, quit the discussion kama unaona umepotea njia


Naona unanihamisha kwenye reli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…