TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba!
Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza mambo mengi sana!
Kiukweli ni movie yenye stori nzuri ila imeniachia majonzi baada ya kuona mwanamama anavyohangaika na mwanaye katika hali isiyokuwa na msaada tena katikati ya Bahari!
Aiseeee!😭😭
NO WHERE