Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

Jamaa asingekufa bhana baadae akutane na familia yake....pale alipojichana mguu mama mtt iliniumiza.....haikuisha vizuri maana hatukujua hatma vile waliokolewa then what next?
 

Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba!

Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza mambo mengi sana!

Kiukweli ni movie yenye stori nzuri ila imeniachia majonzi baada ya kuona mwanamama anavyohangaika na mwanaye katika hali isiyokuwa na msaada tena katikati ya Bahari!

Aiseeee!😭😭


NO WHERE
Inaelekea unapenda tu kujiliza bila sababu, ni kawaida sana ya wanaume wa Dar kuwa hivi. Kwa tarifa yako, huyo mwanamama yu hai na yuko kwake muda huu akijivinjari na mumewe pia wala hana taarifa na wewe kujiliza bila sababu juu yake. You need to mature faster.
 
Back
Top Bottom