Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba!

Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza mambo mengi sana!

Kiukweli ni movie yenye stori nzuri ila imeniachia majonzi baada ya kuona mwanamama anavyohangaika na mwanaye katika hali isiyokuwa na msaada tena katikati ya Bahari!

Aiseeee!😭😭

NO WHERE
Umefanya matumizi holela ya machozi na kuwa "macho-zii"!🙄
 
Mbaga Jr
Mkuu nimeangalia ipo vizuri ndio nimemaliza now...

Sterling wetu Kujifungua mwenyewe tena ndani ya maji hiyo scenario sijui Kama wanawake wa Sasa wanaweza ?
All in all,
matatizo ndio kipimo Cha akili 😊
 
Scenario kama hizo zitampata mtu kama akikamatika kwenye mazingira magumu, kwan mara ngap unasikia mwanamke amejifungua kwenye gari alipelekwa hosp.

Binafsi sijaona kasoro yoyote kwenye hy movie
 
unaweza nipa sababu kwanini lile kontena halikuzama muda wote
Kwenye hy movie, kontena lilikuwa na plastic tuu yn hakuna mzigo wenye uzito mkubwa kuzamisha kontena, pia mama yule alikuwa anatoa maji yaliyokuwa yanaingia ndani kupitia mashimo ya risasi zilizotoboa kontena.

Makontena ya watu wngn yalizama haraka labla kutoka na uzito wa mzigo uliokuwa kwenye kontena pamoja na watu kuwa wengi ndan ya hilo kontena (kama umeangalia movie nadhani utajua n kwann alibaki mwnyw kwenye kontena hvy kontena likawa na nafasi kubwa tofauti na wengine) labla kuna mengine hayakuzama au hayakuzama kwa haraka kwa kuwa watu waliokuwa humo labla walitumia mbinu zao ambazo watazamaji hatukuziona mana movie haikuwa kwa ajili yao.

Kontena halizami haraka kwa sababu ya nafasi iliyopo ndani ya hilo kontena, kingine kinachofanya kontena kuzama haraka n uzito wa mzigo uliopo ndani ya kontena.

Yn kwa ufupi n kwamba, meli inaelea kwenye maji kwasabb ina sehemu ya hewa/nafasi ndani yake ila shilingi inazama kwasababu haina nafasi/hewa.

Na sio kwamba kontena halikuzama, labla kama hujaichek hy movie. Kontena lilizama na akabaki na mwanae amemtengenezea kama kiboti fln hv kwa kutumia yale tunayaita makontena ya chakula majumbani.
 
Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba!

Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza mambo mengi sana!

Kiukweli ni movie yenye stori nzuri ila imeniachia majonzi baada ya kuona mwanamama anavyohangaika na mwanaye katika hali isiyokuwa na msaada tena katikati ya Bahari!

Aiseeee!😭😭

NO WHERE
Wanawake mpo emotional sana.
 
Avatar yako na username mtoa mada hata haifanani na moyo wako wa kimama.
 
Hii movie kuna mahali pia nimeona rating zake ni kali sana ngoja niitizame
 
Back
Top Bottom